yaani nipM nikutoe OUT yaani kuna watu humu hawajielewi sisemi sana BIG UP ETISIJUI JIDE SUGU NDO VITU GANI..KILA MSANII ANA TASTE YAKE JAMANI KAMA NI PROMO MMECHEMKA MTU akifanyia shoo uwani kwake kukajaa basi shedeeeeeerrr!!!!Hao wote ni malegend katika mziki wa bongo but hoja yako haina ukweli wowote, wasanii wengi tu wanakuja na kupotea usitake kuniambia kwamba wote waliopotea sababu ni Sugu na Jide, hell nooooo...... Jipange tena!
kwetu mtu kama wewe unatengwana jamii mana hufaihujielewi,,,pole sana.pitia msosi basi pale nyumbani lounge mana povu linakutoka tu utachumiwa mwaa mwaa mwaa!!hivi unataka kunambia show ipi hivi karibuni aliopiga FA kama FA zaidi ya kudandi mgongoni kwa Ambwene???sasa unazungumzia fiesta show ambayo lazima apandishwe jukwaani na mabwana zake clouds,kwa ujumla nilitaka kukuweka sawa katika shutumu ulizo jaribu kuwa tupia sugu na Jaydee ndomana comment yangu haikuwa na uhusiano na mada iliokuwepo jukwaani
like yangu umeiona?Mtoa mada aliitelekeza thread toka Jana!
Hadi sasa nimepitia michango yote sijaona mchango wowote ulio onesha watu waliopotezwa!
Na bahati mbaya wanaosemwa wamepotezwa ndio wanaotamba hadi sasa!
Kilicho nifurahisha baada ya wachangiaji kushindwa kuonesha kwa mifano kuwa Fulani na Fulani wamepotezwa wameamua kutupa historia za muziki za watu wanao dai hawaguswi!
Nimefurahishwa kupata historia za kina Sugu lakini sijashawishika na madai ya watu kupotezwa!
Bado nasubiri!
thubutuuuuuuuuu! wa 72 yule we si umeona uso unavyodunda akkipaka mamekapuuuu?nani kanuna?
yaani nipM nikutoe OUT yaani kuna watu humu hawajielewi sisemi sana BIG UP ETISIJUI JIDE SUGU NDO VITU GANI..KILA MSANII ANA TASTE YAKE JAMANI KAMA NI PROMO MMECHEMKA MTU akifanyia shoo uwani kwake kukajaa basi shedeeeeeerrr!!!!
Jipime kwanza kwa matusi unayoyatoa alafu ndo turudi kwenye mada,mimi siko kimipasho kama ulivyo zoea ndomana kwenu naweza tengwa sababu mipasho si hulka yangu...!!!ukikuwa kifikra na mtazamo(kiakili)nitafute mi esibishani nanyie mnao kuwa maumbo lakini akili finyukwetu mtu kama wewe unatengwana jamii mana hufaihujielewi,,,pole sana.pitia msosi basi pale nyumbani lounge mana povu linakutoka tu utachumiwa mwaa mwaa mwaa!!
YAANI umeongea point sana si umeona jamaa kala kona alipoona mbibi unataka kumdodea yupo kwa vigoriiiiiiii!!
thubutuuuuuuuuu! wa 72 yule we si umeona uso unavyodunda akkipaka mamekapuuuu?nani kanuna?
kazaliwa 78