Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
yaani nipM nikutoe OUT yaani kuna watu humu hawajielewi sisemi sana BIG UP ETISIJUI JIDE SUGU NDO VITU GANI..KILA MSANII ANA TASTE YAKE JAMANI KAMA NI PROMO MMECHEMKA MTU akifanyia shoo uwani kwake kukajaa basi shedeeeeeerrr!!!!Hao wote ni malegend katika mziki wa bongo but hoja yako haina ukweli wowote, wasanii wengi tu wanakuja na kupotea usitake kuniambia kwamba wote waliopotea sababu ni Sugu na Jide, hell nooooo...... Jipange tena!