Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie

Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie

Hao wote ni malegend katika mziki wa bongo but hoja yako haina ukweli wowote, wasanii wengi tu wanakuja na kupotea usitake kuniambia kwamba wote waliopotea sababu ni Sugu na Jide, hell nooooo...... Jipange tena!
yaani nipM nikutoe OUT yaani kuna watu humu hawajielewi sisemi sana BIG UP ETISIJUI JIDE SUGU NDO VITU GANI..KILA MSANII ANA TASTE YAKE JAMANI KAMA NI PROMO MMECHEMKA MTU akifanyia shoo uwani kwake kukajaa basi shedeeeeeerrr!!!!
 
hivi unataka kunambia show ipi hivi karibuni aliopiga FA kama FA zaidi ya kudandi mgongoni kwa Ambwene???sasa unazungumzia fiesta show ambayo lazima apandishwe jukwaani na mabwana zake clouds,kwa ujumla nilitaka kukuweka sawa katika shutumu ulizo jaribu kuwa tupia sugu na Jaydee ndomana comment yangu haikuwa na uhusiano na mada iliokuwepo jukwaani
kwetu mtu kama wewe unatengwana jamii mana hufaihujielewi,,,pole sana.pitia msosi basi pale nyumbani lounge mana povu linakutoka tu utachumiwa mwaa mwaa mwaa!!
 
Mtoa mada aliitelekeza thread toka Jana!
Hadi sasa nimepitia michango yote sijaona mchango wowote ulio onesha watu waliopotezwa!

Na bahati mbaya wanaosemwa wamepotezwa ndio wanaotamba hadi sasa!

Kilicho nifurahisha baada ya wachangiaji kushindwa kuonesha kwa mifano kuwa Fulani na Fulani wamepotezwa wameamua kutupa historia za muziki za watu wanao dai hawaguswi!

Nimefurahishwa kupata historia za kina Sugu lakini sijashawishika na madai ya watu kupotezwa!
Bado nasubiri!
like yangu umeiona?
 
thubutuuuuuuuuu! wa 72 yule we si umeona uso unavyodunda akkipaka mamekapuuuu?nani kanuna?

Sasa we umeuliza ana miaka mingapi...unajibiwa unakataa........jide ni wa 78, namfahamu toka yupo zanaki secondary....kipindi hicho anaimba imba miziki ya hiphop
 
Nimependa huu uzi. Una data na kuchambuliwa vizuri sana. Ndivyo JF inavyotakiwa kuwa sio kuleta povu tu.
Safi sana mr gentleman kwa uchambuzi wako wenye hoja zenye uhalisia. Kweli Chid alizinguana na Jide Wakati wa kushoot video ya Uko Juu.
Ova
 
Last edited by a moderator:
yaani nipM nikutoe OUT yaani kuna watu humu hawajielewi sisemi sana BIG UP ETISIJUI JIDE SUGU NDO VITU GANI..KILA MSANII ANA TASTE YAKE JAMANI KAMA NI PROMO MMECHEMKA MTU akifanyia shoo uwani kwake kukajaa basi shedeeeeeerrr!!!!

Msema kweli mpenzi wa Mungu,wasanii hawa wawili jide na sugu wala sio shetani yangu kabisa.
 
Hakika Jide na Sugu wana heshima zao, hata magazeti ya udaku yanavyomuandika vibaya jide hakuna cha kubadilisha kwenye kukubalika kwake na mashabiki!!!!
 
kwetu mtu kama wewe unatengwana jamii mana hufaihujielewi,,,pole sana.pitia msosi basi pale nyumbani lounge mana povu linakutoka tu utachumiwa mwaa mwaa mwaa!!
Jipime kwanza kwa matusi unayoyatoa alafu ndo turudi kwenye mada,mimi siko kimipasho kama ulivyo zoea ndomana kwenu naweza tengwa sababu mipasho si hulka yangu...!!!ukikuwa kifikra na mtazamo(kiakili)nitafute mi esibishani nanyie mnao kuwa maumbo lakini akili finyu
 
thubutuuuuuuuuu! wa 72 yule we si umeona uso unavyodunda akkipaka mamekapuuuu?nani kanuna?

Mi sio mtaalamu wa make up ila bora aachane na hizo mambo..atulie uzee busara.

Wikipedia wanasema kazaliwa 1975 ila hapo ujue kapunguza yake si chini ya mitatu mpka mitano.
 
Back
Top Bottom