MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwani walisemaje?Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Ungeanza kuwashauri uliowashauri waanze na kudhibiti wizi, ufisadi wa mali za umma, utekaji,utesaji,ufungaji pasina makosa,uuaji,dharau kwa wananchi na maujinga mengine hakuna ambaye angeomba ukapimwe akili.Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Hivi mmoja kuambiwa MATAKO YENU na mwingine kupigwa risasi kuna ufanano hapo?Au maumivu yanafanana?Kwani walisemaje?
Kamdhibiti mumeo nyang'au weweAlianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Pamoja na kwamba haujayaainisha matusi unayoyalalamikia ili tupime kama kweli ni matusi au la hebu tukubali tu kuwa ni matusi tena matusi makali yenye ukakasi halafu tuweke mizania kipi kama taifa kianze kushughulikiwa na ndiyo kina madhara zaidi kwa taifa kati ya matusi anayotukana Sugu na mauaji anayofanya Samia.Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Unajihangaisha bureeeee kabisa ndugu yangu.Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Mbona hutaji hilo Tusi???Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Maiti nyingine imeokotwa daraja la SalendaAlianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Hujaweka hayo unayolalama kuwa ni matusi halafu unataka watu tujadili, tunajadili nini!!??Kwanini wengi hapa mnataka kuhalalisha kosa la Sugu kwa utetezi dhaifu usioendana na hoja iliyopo? Kwahiyo Sugu na Nshala waendelee kuchochea mmomonyoko wa maadili kwa sababu October 29 kuna watu waliouwawa? Inashangaza sana hizi akili zenu.
Maccm ni mataahira kabisaMa CHADEMA hayajitambui kabisa
Kwani mauaji yamefanywa 29 october tu? kabla ya hyo trh hadi leo watu bado wanakufa kwa mikono ya hawa majambazi yaliyojipa madaraka tanganyika, leo uje ujae sukari kwa kuambiwa matako yako tu.Kwanini wengi hapa mnataka kuhalalisha kosa la Sugu kwa utetezi dhaifu usioendana na hoja iliyopo? Kwahiyo Sugu na Nshala waendelee kuchochea mmomonyoko wa maadili kwa sababu October 29 kuna watu waliouwawa? Inashangaza sana hizi akili zenu.