Sugu na Nshala wadhibitiwe kwa kuhamasisha matusi

Lamomy mbona nimekuwa nikiamini kwa miaka mingi sasa kuwa hauna tatizo la uwendawazimu!! Imekuwaje tena?
Chizi huwa anamuona kila anayemtazama ni chizi mwenzie ujue..!!

Uko sawa au na wewe kama Tlaatlaah umeruhusiwa kwa uangalizi maalumu?
 
wakati wewe unajua matusi mwezako anazungumzia vitako vya bunduki au kiungo cha mtu toka lini take au matador yakawa matusi
 
Na anayehamasisha mikwaju kimataifa tunamuweka kundi gani kama unakwazwa na emotions za watu wengine mama?
 
Chizi huwa anamuona kila anayemtazama ni chizi mwenzie ujue..!!

Uko sawa au na wewe kama Tlaatlaah umeruhusiwa kwa uangalizi maalumu?
Kwanini umeamua kujiunga na vikundi vya matusi humu JF? Haukuwa hivyo. Tafadhali rudi kwenye maadili yako ya siku zote na sio huu ushetani unaoufanya.
 
Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.

Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.

Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.

Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Uanze kudhibitiwa wewe unayetaka wenzio wadhibitiwe.!
 
Unaandika kama uko kamati ya CCM! Tunasoma hadi mwisho hatuoni hilo tusi. Nini kimekupa taabu? Sema unayochukia tukusaidie kuona kama yanafaa au hayafai!

Kumbuka hapa siyo kikao cha unafiki.
 
Back
Top Bottom