Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Huwa una mix na ice au kitu ganiiHii ina usalama zaidi , hainyweki hovyo hivyo ni ngumu kuchakachuliwa , pia haina hangover
Huwa una mix na ice au kitu ganiiHii ina usalama zaidi , hainyweki hovyo hivyo ni ngumu kuchakachuliwa , pia haina hangover
Mbona michango unaitaja mara nyingi, inakuuma?hawa wanufaika wa michango
Hiyo adabu na nidhamu imelifikisha wapi taifa..tangu chadema ibadili uongozi,
viongozi wake wote waandamizi wamekosa nidhamu kabisa na hawana adabu hadi kwa wafuasi wao, huenda tabia hiyo mbaya ni athari za tabia mbaya za kiongozi wao mkuu mropokaji na mkiuka sheria za nchi kwa makusudi.
Lime soda kama sprite, au club sodaHuwa una mix na ice au kitu ganii
Lime Iko powaa ile kizibo cha njanooLime soda kama sprite, au club soda
NB: Matako yako mwandishiAlianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Yeah vodka unyama sana , ila uwe makini vodka haina harufu ,kama konyagi ila inapanda sana kwenye kichwa kuliko konyogiLime Iko powaa ile kizibo cha njanoo
Ntakupa mrejesho kakaaYeah vodka unyama sana , ila uwe makini vodka haina harufu ,kama konyagi ila inapanda sana kwenye kichwa kuliko konyogi
Unajaribu uone kwanza ila naona ni nzuri zaidiNtakupa mrejesho kakaa
Juzi kuna mwili wa mtu uliokotwa mto Msimbazi hauna kichwa. Leo kuna mwili wa mtu umekutwa ndani ya kiroba Salender Bridge.tabia mbaya za kiongozi wao mkuu mropokaji na mkiuka sheria za nchi kwa makusudi.
Kwa sasa Tanganyika tusi kubwa ni moja tu ni SAMUYAAlianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Nakupa mrejesho muhimu Leo Leo ngoja now nipo kwenye TRAFFIC 🚦 JAM.. narejea mitaa ya homeUnajaribu uone kwanza ila naona ni nzuri zaidi
🤣 bado hujapanick.Wewe ni K*MA?
Alianza kama utani ila kwa ilipofikia hali ni mbaya. Ni kama watu wamehalalisha kutukana hili tusi linalopendwa sana na Sugu ambaye pia ni mnufaika wa michango huko CHADEMA. Ilikuwa kila akiandika post anaweka NB yenye tusi hali iliyopelekea wafuasi wake wasiojitambua kuona ni sahihi na wao kutumia kwenye machapisho yao.
Kwa influence aliyo nayo SUGU (Mnufaika wa michango CHADEMA) tayari hali ishakuwa mbaya na kwa sasa watu wengi wanaona ni sawa tu kutamka hilo tusi.
Pia ninaandika nikisikitika sana kuona mwanasheria nguli Rugemeleza Nshala naye kuwa kinara wa kutamka matusi hadharani. Zaidi ya mara 2 ndugu Nshala ambaye pia naye ni mnufaika wa michango CHADEMA katamka maneno yasiyofaa kabisa kutamkwa.
Ninaisihi serikali kupitia wizara na vyombo vingine vya dola vichukue hatua dhidi ya hawa wanufaika wa michango ili kuepusha kuharibu vijana wadogo kimaadili.
Bado haifanyi kutukana(let's assume ametukana kweli) liwe ni kosa kubwa zaidi ya kuua.Ndo maana mlidanganywa na shetani Mange mkaenda kukutana na risasi
Wewe ni jaji? Umeshahukumu kuwa hakuna evidence ya Sugu kutukana ila Samia kaua. International media ni mahakama? Jitahidi kuficha ujinga wako.Bado haifanyi kutukana(let's assume ametukana kweli) liwe ni kosa kubwa zaidi ya kuua.
-Sugu katukana(though no evidence of that)
-Samia kaua(mass killings) mpaka international media wamezungumzia ukatili wake.
Who deserves to rot in jail among the two?
acheni imani potofu za kishirikina na ramli useless,Matraco ni kiungo kila mtu anacho hata akikwambia hivyo wala haiumi..!!
Tatizo utekaji na uuaji huu ndio wa kukemea na kudhibitiwa sababu inagusa maisha ya watu na mustakabali mzima wa nchi.
Mnapoua mnasababisha mauaji kuonekana ni jambo la kawaida na wananchi wengine wenye maugomvi yao kutumia kama ni hukumu kwa wagomvi wao..!!
Mnadhurumu uhai wa watu ambao familia zao zinawategemea na kupunguza nguvu kazi ya taifa..!!
Mtaji wa kwanza wa nchi ni wananchi wake.
Hata hivyo na wewe pia Ma ta co re yako vilevile unaacha kukemea vitu vya maana.