Sugu na Nshala wadhibitiwe kwa kuhamasisha matusi

Wewe ni mnufaika wa pesa zipi?
 
Kwani mauaji yamefanywa 29 october tu? kabla ya hyo trh hadi leo watu bado wanakufa kwa mikono ya hawa majambazi yaliyojipa madaraka tanganyika, leo uje ujae sukari kwa kuambiwa matako yako tu.
Na mkijaribu tena upuuzi risasi zitahusika kama kawaida.
 
Nonsense
 
Kwa kawaida ukipata pesa ambayo ujaitolea jasho Akili zinaweuka na unakuwa mwehu.
 
Kwa akili hizo za uchawa nani akupe teuzi acha kujikosha huna sifa na vigezo ngumbaru wa Lumumba wewe,
Ng'eng'eng'e ng'eng'e ningepata tangu enzi za Jakaya!
Wapi weweeeee
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Jamaa anajitekenya na kucheka mwenyewe β€œ kwa sauti ya mwashamba
 
Jamaa anajitekenya na kucheka mwenyewe β€œ kwa sauti ya mwashamba
Ngumbaru za Lumumba hupenda kujipa maujiko sana,mfano huku street vipo vi UVCCM vinavaa kaunda suti mpauko vikijifanya vijitu vya system kumbe matacore ya umbwaaa!
πŸ˜…πŸ˜…
 
Ngumbaru za Lumumba hupenda kujipa maujiko sana,mfano huku street vipo vi UVCCM vinavaa kaunda suti mpauko vikijifanya vijitu vya system kumbe matacore ya umbwaaa!
πŸ˜…πŸ˜…
Na hii kitu ni mbaya sana, yaani wanaona kama hii nchi ya kwao wakija kupata teuzi ndo wanakua kama akina Sabaya. Masikio yanazidi kichwa
 
Kwanini wengi hapa mnataka kuhalalisha kosa la Sugu kwa utetezi dhaifu usioendana na hoja iliyopo? Kwahiyo Sugu na Nshala waendelee kuchochea mmomonyoko wa maadili kwa sababu October 29 kuna watu waliouwawa? Inashangaza sana hizi akili zenu.
Nyinyi ipo siku mtapiga magoti lakini muda utakuwa umepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…