Sugu na Nshala wadhibitiwe kwa kuhamasisha matusi

Kumbe chadema haijakufa
 
tangu chadema ibadili uongozi,
viongozi wake wote waandamizi wamekosa nidhamu kabisa na hawana adabu hadi kwa wafuasi wao, huenda tabia hiyo mbaya ni athari za tabia mbaya za kiongozi wao mkuu mropokaji na mkiuka sheria za nchi kwa makusudi.
 
Sheria gani ya nchi kiongozi wa chadema amekiuka? Na ni kiongozi yupi alifanya hivyo!?
 
Unataka tufungue Darasa?
Wewe ndio unifahamishe maana umekinzana na maandishi yangu yanayodadisi mada chokozi, sasa umeandika kuhusu masuala ya kutusi ukimaanisha hapo kuna vinasaba vya matusi. Sasa labda utuambie tusi maana yake ni nini!? Na lipi lilikuwa ni tusi kwa mtazamo na ufahamu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…