Sugu na Nshala wadhibitiwe kwa kuhamasisha matusi

hawa wanufaika wa michango
Mbona michango unaitaja mara nyingi, inakuuma?

Kwani huko Mbogamboga hakuna michango? Umesahau michango lukuki inayochangwa huko, mfano ni yale mabilioni yaliyochangwa na mafisadi kwa ajili ya Mbogamboga pale Mlimani City.
Au mkuki kwa nguruwe...
 
tangu chadema ibadili uongozi,
viongozi wake wote waandamizi wamekosa nidhamu kabisa na hawana adabu hadi kwa wafuasi wao, huenda tabia hiyo mbaya ni athari za tabia mbaya za kiongozi wao mkuu mropokaji na mkiuka sheria za nchi kwa makusudi.
Hiyo adabu na nidhamu imelifikisha wapi taifa..
Siungi mkono watu kutumia lugha za matusi ila kufanya maadili kuwa issue kubwa ya taifa kuliko matatizo yanayonuka kila kona ya nchi hii. Ni upofu wa hali ya juu
 
NB: Matako yako mwandishi
 
tabia mbaya za kiongozi wao mkuu mropokaji na mkiuka sheria za nchi kwa makusudi.
Juzi kuna mwili wa mtu uliokotwa mto Msimbazi hauna kichwa. Leo kuna mwili wa mtu umekutwa ndani ya kiroba Salender Bridge.

Hayo mauaji yanafanywa na watawala wanaokutuma na kukulipa wewe chawa siyo ukiukaji wa sheria za nchi kwa makusudi??
 
Kwa sasa Tanganyika tusi kubwa ni moja tu ni SAMUYA
 
Ni ajabu kwamba kuna watu haoa duniani wanateswa na Matusi. Hivi tusi ni nini? Ni maneno tu yametengenezwa halafu ukifandishwa kuyachukia.. Ni ujinga kama tusi linaweza kukuondelea focus au likakutoa kwenye reli ya hatima ya maisha yako
 

Tunakoenda kila mtu anayesema chochote, mtataka adhibitiwe. Na wale wanaosema uongo kwa wananchi au kuwaibia kwa hila wafanyweje? Basi tunamuachia Mwenyezi Mungu, hakimu wa haki.
 
Ndo maana mlidanganywa na shetani Mange mkaenda kukutana na risasi
Bado haifanyi kutukana(let's assume ametukana kweli) liwe ni kosa kubwa zaidi ya kuua.
-Sugu katukana(though no evidence of that)
-Samia kaua(mass killings) mpaka international media wamezungumzia ukatili wake.
Who deserves to rot in jail among the two?
 
Wewe ni jaji? Umeshahukumu kuwa hakuna evidence ya Sugu kutukana ila Samia kaua. International media ni mahakama? Jitahidi kuficha ujinga wako.
 
acheni imani potofu za kishirikina na ramli useless,
acheni tamaa na tabia mbaya ya kumendea waume au wake za wenyewe, achaeni dhuluma nonsense za fedha na mali, na tafadhali msijihusishe na biashara za viungo za vya binadamu, ni mbaya sana siku ya mwisho,

fanyeni kazi kwa bidii, bila kuchoka wala kukata tamaa na Mungu atawabariki.

sawa ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…