Sugu na Nshala wadhibitiwe kwa kuhamasisha matusi

Lamomy mbona nimekuwa nikiamini kwa miaka mingi sasa kuwa hauna tatizo la uwendawazimu!! Imekuwaje tena?
Chizi huwa anamuona kila anayemtazama ni chizi mwenzie ujue..!!

Uko sawa au na wewe kama Tlaatlaah umeruhusiwa kwa uangalizi maalumu?
 
wakati wewe unajua matusi mwezako anazungumzia vitako vya bunduki au kiungo cha mtu toka lini take au matador yakawa matusi
 
Na anayehamasisha mikwaju kimataifa tunamuweka kundi gani kama unakwazwa na emotions za watu wengine mama?
 
Chizi huwa anamuona kila anayemtazama ni chizi mwenzie ujue..!!

Uko sawa au na wewe kama Tlaatlaah umeruhusiwa kwa uangalizi maalumu?
Kwanini umeamua kujiunga na vikundi vya matusi humu JF? Haukuwa hivyo. Tafadhali rudi kwenye maadili yako ya siku zote na sio huu ushetani unaoufanya.
 
Uanze kudhibitiwa wewe unayetaka wenzio wadhibitiwe.!
 
Unaandika kama uko kamati ya CCM! Tunasoma hadi mwisho hatuoni hilo tusi. Nini kimekupa taabu? Sema unayochukia tukusaidie kuona kama yanafaa au hayafai!

Kumbuka hapa siyo kikao cha unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…