'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

Status
Not open for further replies.
Angeipa jina la mama yake,
Mama yao amehangaika sana tokea mzee wao alipowaacha wakiwa wadogo;

Kuhusu biashara itabidi akomae sana kuitangaza na kutafuta wateja;

Kuhusu mkopo sina wasiwasi sana kwa kuwa ile familia wapo wengi wenye uwezo wao
kama bado wako pamoja watalipa tu deni, labda useme hao wanaoolewa ndo wataharibu kila kitu.
 
Dah.... Halafu kesho mnampa uwaziri Kivuli wa miundo mbinu... Na semi zake hizo kweli ataboresha reli zetu kweli? [emoji13] [emoji13]
 
We kama umefika mbeya angalia ni nani wanaokodi kumbi za mikutano kama siyo serikali.. Unafikiri wananchi wanakodi kumbi za mikutano?
 
Pamoja na ubunge, muziki, hotel. Pia Sugu anamiliki malori.

Pia unapaswa kufahamu aliyekopa CRDB sio SUGU kama SUGU ni kampuni ambayo SUGU ni mmoja wa ma-director.
We unadhani malori ni biashara ya kudumu muulize gsm kapaki malori mangapi tangu magu aingie.. Nakwa vile nchi ina ukame unafikiri kuna biashara kusafirisha mazao gani sass hv?
 
Sawa mimi si ccm wala serikali ila ujue crdb ni benki yenye hisa za serikali na kuna influence kubwa.. Wakiamua kumbana bwana sugu kuna vipengele vingi sana kummaliza.. Na hii serikali unaijua?
Hii serikali IPO kwa ajili ya kubana watu bila sababu?
 
Jamii Forum ni sehemu ya mawazo huru. Yeye anachokijua kakiwasilisha, anatakiwa pongezi na wengineo mnaongeza kinachojulikana na sio kumshambulia
Kama wewe unajua jamaa ana vyanzo vinginevyo unawasilisha tuu. Sasa isije ukawa una wasilisha wakaanza kumfatilia na biashara nyingine kama analipa kodi apo ndio ishu. Au ayo mashamba analima kwy vyanzo vya mtoo
 
mtoa mada unamawazo ya kimasikini sana mbeya ni mji unaopokea wageni wengi sana sio wa kitalii tu hata wafanya biashara kutoka sehemu mbali mbali halafu unakimbilia kwenye kushindwa kulipa deni na kufilisiwa

wewe ni adui wa sugu unachuki binafsi na humtakii memea kabisa
 
Tumuunge Mkono Sugu, Uwekezaji ni wa zaid ya Miaka 10 na atapata faida tu mbele ya safar
 
Aisee, una business strategy yake ? Unadhani kakurupuka ? Unajua muda wa makubaliano ya CRDB na Mteja wao ??? Hahaha wewe ndio unachekesha na kuniudhi kwa kunipotezea muda kusoma na kukuelimisha Juu ya uropokaji wako aisee,
 
Sugu hana hela.. Mshahara wa ubunge anachukua laki tatu ukitoa madeni. Wenzie wana ma v8 yeye ana landcruiser la zamani alilopinduka nalo kitambo
Hayo ya hela yanakuhusu ?? Kuhusu kumiliki hilo Gari huoni kama unaingilia choice binafsi yA mtu ???? We hujiulizi kwani kabla ya kua mbunge ilikuaje alikua haishi ??? Yule Ana michongo zaidi ya mia asee Au wewe unadhani kaibukia Tu kwenye ubunge ??? Unachekesha sana
 
Sawa mimi si ccm wala serikali ila ujue crdb ni benki yenye hisa za serikali na kuna influence kubwa.. Wakiamua kumbana bwana sugu kuna vipengele vingi sana kummaliza.. Na hii serikali unaijua?
Sasa unadhani hawakusaini mkataba wa kudumu kwa deni husika ????? Na Je hujui kisheria hua kuna kuwajibishwa kwa anayevunja mkataba wa kwanza ? Unadhani haya mambo hua yanaenda kienyeji enyeji kama unavyoendaga kukopa chumvi kwa mangi ???? Jifunze kua reasonable asee
 
Ishu Ni strategy zako kibiashara, we need new strategies, kwa sisi wachumi na wafanya biashara nguli tunafahamu haya,
 
Afadhali mnakubali kuwa mahoteli yanakufa kwa sera zenu...mikopo italipwa tu...lakini uchumi mmeu kill
 
Nimetoa mada kama mchambuzi tu sasa wanazani mimi nimekuja na ajenda za chama hii ni warning kwa mwekezaji kama kuna namna atafute suluhu mapema kwa vyoyvyote vile ccm lazima itatumia deni hili kama fursa 2020 ukizingati unyeti wa jimbo la mbeya
Hakuna aliyetamka chama hapa wewe, mbona unajishtukia alaa
 
Mziki wa sugu haulipi kwa sasa...hata shoo ya milion 2 kupata ni shida mkuu
 
KWANI UNAPOKOPA BANK WANAKUPA TU MKOPO AU WANAANGALIA NA ASSETS UNAZOMILIKI KULINGANA NA KIASI UNACHOKOPA KUA HATA KAMA USIPOLIPA WATACHUKUA HIZO ASSETS
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…