'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

'Sugu' naye aingia chaka, achukua mkopo CRDB na kujenga hoteli kubwa jijini Mbeya

Status
Not open for further replies.
Angeipa jina la mama yake,
Mama yao amehangaika sana tokea mzee wao alipowaacha wakiwa wadogo;

Kuhusu biashara itabidi akomae sana kuitangaza na kutafuta wateja;

Kuhusu mkopo sina wasiwasi sana kwa kuwa ile familia wapo wengi wenye uwezo wao
kama bado wako pamoja watalipa tu deni, labda useme hao wanaoolewa ndo wataharibu kila kitu.
 
Kwanza Sugu ni mwanamziki
Shoo yake moja anachukuliwa kwa milioni tano na kila siku anapewa ofa lakini kulingana na majukumu ya kibunge anashindwa kwenda kupiga shoo
Mdomo wake ndio mtaji wake yeye kama yeye akiamua azunguke tanzania nzima kupiga shoo atakusanya sh ngap?
Na unajuwa ana semi ngapi? zina muingizia sh ngap kwa kila mwezi

Usikurupuke Sugu ni habari ingine
Dah.... Halafu kesho mnampa uwaziri Kivuli wa miundo mbinu... Na semi zake hizo kweli ataboresha reli zetu kweli? [emoji13] [emoji13]
 
Kwa akili zako kukopa mkopo ni kuingia chaka?

Alikuambia anajenga hotel kwa ajili ya seriklali nani?

Kwanza tangu lini serikali ikafanya biashara na wapinzani zaidi ya kutafuta kuwamaliza?

Unadhani anategemea akili ya umati kufanya biashara?

Acheni kutumia akili za whatsup!. Ongeza ufahamu utoke kwenye sanduku la ujinga na wivu!. Maisha ni ubunifu.
We kama umefika mbeya angalia ni nani wanaokodi kumbi za mikutano kama siyo serikali.. Unafikiri wananchi wanakodi kumbi za mikutano?
 
Pamoja na ubunge, muziki, hotel. Pia Sugu anamiliki malori.

Pia unapaswa kufahamu aliyekopa CRDB sio SUGU kama SUGU ni kampuni ambayo SUGU ni mmoja wa ma-director.
We unadhani malori ni biashara ya kudumu muulize gsm kapaki malori mangapi tangu magu aingie.. Nakwa vile nchi ina ukame unafikiri kuna biashara kusafirisha mazao gani sass hv?
 
Sawa mimi si ccm wala serikali ila ujue crdb ni benki yenye hisa za serikali na kuna influence kubwa.. Wakiamua kumbana bwana sugu kuna vipengele vingi sana kummaliza.. Na hii serikali unaijua?
Hii serikali IPO kwa ajili ya kubana watu bila sababu?
 
Huo siyo uchambuzi. Mchambuzi hana mtazamo mmoja, mchambuzi hana biase, mchambuzi hafanyi conclusio, mchambuzi hana ushabiki.

Lakini wewe hoja yako tayari umeshakwenda kuonyesha ujinga zaidi kwamba kukopa bank ni kuingia chaka,

Kwamba hataweza kulipa.

Kwamba anategmea serikali kkodisha hotel yake.

Kwamba anategemea fedha za ubunge tu.

Huwezi kkuwa mchambuzi wakati tayari umethibitisha ushabiki na bahati mbaya ukaonyesha uchambuzi wa kiwango cha chni hivyo kuzuia hata mjadala.

Unaonyesha kuhitaji kueleweshwa lakini hujui, unahitaji kwanza kuondoa dhana ya ushabiki, kukandika, wivu na pia jifunze kukusanya taarifa za kutosha kabla ya kujiita mchambuzi wa jambo usilolijua.
Jamii Forum ni sehemu ya mawazo huru. Yeye anachokijua kakiwasilisha, anatakiwa pongezi na wengineo mnaongeza kinachojulikana na sio kumshambulia
Kama wewe unajua jamaa ana vyanzo vinginevyo unawasilisha tuu. Sasa isije ukawa una wasilisha wakaanza kumfatilia na biashara nyingine kama analipa kodi apo ndio ishu. Au ayo mashamba analima kwy vyanzo vya mtoo
 
Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa benki ya crdb.. Hoteli hiyo aliyoiita jina la Desderia hotel ambalo ni jina la mtot wake aliyezaa na mdada maarufu kwa jina la faiza..

Tatizo ni kwamba mkopo alipata enzi za kikwete ila hoteli inakamilika kipindi cha magu ambapo mteja mkuu wa industry ya hotel ambaye ni serikali amepigwa marufuku kutumia hoteli binafsi na kumbi zake kwa huduma za kiserikali kitendo kilichopelekea hoteli nyingi kufunga virago na kuuzwa na nyingine kubadilisha matumiz kuwa hostel na kadhalika..
Tatizo ninaloliona hapa kwa sugu ni je?

Ataweza ku operate hoteli kipindi ambacho hoteli zinapata hasara kwa kukimbiwa na mteja mkuu ambaye ni serikali na kudorora sekta ya utalii?. Na je huo mkopo wa mabillioni kutoka crdb ataulipa vipi huku ccm ikimungalia kwa jicho la tamaa jimboni mbeya 2020? Je sugu yuko tayari kufilisiwa mali zake na kwenda jela kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki ya crdb 2020 au ndiyo anaandaliwa mazingira ya kukabidhi jimbo la mbeya mjini kwa hiari kwa ccm 2020?..

Sugu haoni bosi wake mbowe anavyohenyeshwa kwenye club zake na hoteli zake kwa madeni madogo zaidi au ndo msaliti mtarajiwa wa ukawa? View attachment 463161View attachment 463162View attachment 463163View attachment 463164View attachment 463165View attachment 463166
mtoa mada unamawazo ya kimasikini sana mbeya ni mji unaopokea wageni wengi sana sio wa kitalii tu hata wafanya biashara kutoka sehemu mbali mbali halafu unakimbilia kwenye kushindwa kulipa deni na kufilisiwa

wewe ni adui wa sugu unachuki binafsi na humtakii memea kabisa
 
Tumuunge Mkono Sugu, Uwekezaji ni wa zaid ya Miaka 10 na atapata faida tu mbele ya safar
 
We unadhani malori ni biashara ya kudumu muulize gsm kapaki malori mangapi tangu magu aingie.. Nakwa vile nchi ina ukame unafikiri kuna biashara kusafirisha mazao gani sass hv?
PositiveTruth40.jpg
 
Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa benki ya crdb.. Hoteli hiyo aliyoiita jina la Desderia hotel ambalo ni jina la mtot wake aliyezaa na mdada maarufu kwa jina la faiza..

Tatizo ni kwamba mkopo alipata enzi za kikwete ila hoteli inakamilika kipindi cha magu ambapo mteja mkuu wa industry ya hotel ambaye ni serikali amepigwa marufuku kutumia hoteli binafsi na kumbi zake kwa huduma za kiserikali kitendo kilichopelekea hoteli nyingi kufunga virago na kuuzwa na nyingine kubadilisha matumiz kuwa hostel na kadhalika..
Tatizo ninaloliona hapa kwa sugu ni je?

Ataweza ku operate hoteli kipindi ambacho hoteli zinapata hasara kwa kukimbiwa na mteja mkuu ambaye ni serikali na kudorora sekta ya utalii?. Na je huo mkopo wa mabillioni kutoka crdb ataulipa vipi huku ccm ikimungalia kwa jicho la tamaa jimboni mbeya 2020? Je sugu yuko tayari kufilisiwa mali zake na kwenda jela kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki ya crdb 2020 au ndiyo anaandaliwa mazingira ya kukabidhi jimbo la mbeya mjini kwa hiari kwa ccm 2020?..

Sugu haoni bosi wake mbowe anavyohenyeshwa kwenye club zake na hoteli zake kwa madeni madogo zaidi au ndo msaliti mtarajiwa wa ukawa? View attachment 463161View attachment 463162View attachment 463163View attachment 463164View attachment 463165View attachment 463166
Aisee, una business strategy yake ? Unadhani kakurupuka ? Unajua muda wa makubaliano ya CRDB na Mteja wao ??? Hahaha wewe ndio unachekesha na kuniudhi kwa kunipotezea muda kusoma na kukuelimisha Juu ya uropokaji wako aisee,
 
Sugu hana hela.. Mshahara wa ubunge anachukua laki tatu ukitoa madeni. Wenzie wana ma v8 yeye ana landcruiser la zamani alilopinduka nalo kitambo
Hayo ya hela yanakuhusu ?? Kuhusu kumiliki hilo Gari huoni kama unaingilia choice binafsi yA mtu ???? We hujiulizi kwani kabla ya kua mbunge ilikuaje alikua haishi ??? Yule Ana michongo zaidi ya mia asee Au wewe unadhani kaibukia Tu kwenye ubunge ??? Unachekesha sana
 
Sawa mimi si ccm wala serikali ila ujue crdb ni benki yenye hisa za serikali na kuna influence kubwa.. Wakiamua kumbana bwana sugu kuna vipengele vingi sana kummaliza.. Na hii serikali unaijua?
Sasa unadhani hawakusaini mkataba wa kudumu kwa deni husika ????? Na Je hujui kisheria hua kuna kuwajibishwa kwa anayevunja mkataba wa kwanza ? Unadhani haya mambo hua yanaenda kienyeji enyeji kama unavyoendaga kukopa chumvi kwa mangi ???? Jifunze kua reasonable asee
 
mtoa mada yuko sahihi kwa hali ya sasa hivi uchumi umeyumba sana, sisi wafanyabiashara tunapata shida sana kurejesha madeni kwa bank. kwa yeyote ambaye amekopa bank na kufanya uwekezaji mpya laiti angelijua kuwa hali ya uchumi ingeyumba hivi wengi tusingelikopa kabisa. sasa hivi mikopo imekuwa ni mateso makubwa kwakuwa biashara mbaya sana.
Ishu Ni strategy zako kibiashara, we need new strategies, kwa sisi wachumi na wafanya biashara nguli tunafahamu haya,
 
Afadhali mnakubali kuwa mahoteli yanakufa kwa sera zenu...mikopo italipwa tu...lakini uchumi mmeu kill
 
Nimetoa mada kama mchambuzi tu sasa wanazani mimi nimekuja na ajenda za chama hii ni warning kwa mwekezaji kama kuna namna atafute suluhu mapema kwa vyoyvyote vile ccm lazima itatumia deni hili kama fursa 2020 ukizingati unyeti wa jimbo la mbeya
Hakuna aliyetamka chama hapa wewe, mbona unajishtukia alaa
 
Kwanza Sugu ni mwanamziki
Shoo yake moja anachukuliwa kwa milioni tano na kila siku anapewa ofa lakini kulingana na majukumu ya kibunge anashindwa kwenda kupiga shoo
Mdomo wake ndio mtaji wake yeye kama yeye akiamua azunguke tanzania nzima kupiga shoo atakusanya sh ngap?
Na unajuwa ana semi ngapi? zina muingizia sh ngap kwa kila mwezi

Usikurupuke Sugu ni habari ingine
Mziki wa sugu haulipi kwa sasa...hata shoo ya milion 2 kupata ni shida mkuu
 
KWANI UNAPOKOPA BANK WANAKUPA TU MKOPO AU WANAANGALIA NA ASSETS UNAZOMILIKI KULINGANA NA KIASI UNACHOKOPA KUA HATA KAMA USIPOLIPA WATACHUKUA HIZO ASSETS
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom