Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa benki ya crdb.. Hoteli hiyo aliyoiita jina la Desderia hotel ambalo ni jina la mtot wake aliyezaa na mdada maarufu kwa jina la faiza..
Tatizo ni kwamba mkopo alipata enzi za kikwete ila hoteli inakamilika kipindi cha magu ambapo mteja mkuu wa industry ya hotel ambaye ni serikali amepigwa marufuku kutumia hoteli binafsi na kumbi zake kwa huduma za kiserikali kitendo kilichopelekea hoteli nyingi kufunga virago na kuuzwa na nyingine kubadilisha matumiz kuwa hostel na kadhalika..
Tatizo ninaloliona hapa kwa sugu ni je?
Ataweza ku operate hoteli kipindi ambacho hoteli zinapata hasara kwa kukimbiwa na mteja mkuu ambaye ni serikali na kudorora sekta ya utalii?. Na je huo mkopo wa mabillioni kutoka crdb ataulipa vipi huku ccm ikimungalia kwa jicho la tamaa jimboni mbeya 2020? Je sugu yuko tayari kufilisiwa mali zake na kwenda jela kwa kushindwa kulipa mkopo wa benki ya crdb 2020 au ndiyo anaandaliwa mazingira ya kukabidhi jimbo la mbeya mjini kwa hiari kwa ccm 2020?..
Sugu haoni bosi wake mbowe anavyohenyeshwa kwenye club zake na hoteli zake kwa madeni madogo zaidi au ndo msaliti mtarajiwa wa ukawa?
View attachment 463161View attachment 463162View attachment 463163View attachment 463164View attachment 463165View attachment 463166