DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kayakanyaga dogo kaingia cha kike 😂😂😂 alipe tu kodi hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nimeshangaa,akati black Americans wenyewe hilo jina kwao wanaona kama dharau vile.Sugu kawaita Watanzania Niggaz.
Hakuna anayeona hilo kama tatizo?
Umepanic mnoo,Eti ana hotel kubwa!aliipata wapi?akiwa MR 2,au akiwa Mheshimiwa Mbunge!!
It's not a rocket science,kukunja kiinua mgongo 200M+ukaanzisha hotel,Tena moja tu,
Angekuwa nazo kumi ingekuwaje?
Kipindi kile Cha Jiwe wakati wanatishia kuivunja,mbona Ali Lia Lia sana kama kweli ni kidume,fuckers
Anatafutwa na TRA kwasababu amekwepa kodi na sio vinginevyo.Diamond angelijua angekaa kimya tuu , anatafutiwa angle tuu.Hakumbuki yeye ndio mtu pekee anaepingwa vikali na baadhi ya watu kwakuwa alikuwa karibu tuu na uongozi fulani.All in all kama nanadaiwa kodi alipe kodi.Kila zama na kitabu chake
Ni lini CCM imeacha kupitisha sheria ikiwemo hizo TRA- CHADEMA wanazotumia kumnyanyasa diamond?Tofautisha tozo na Kodi. Halafu tozo imepitishwa na wabunge wa CCM. Wao ndio uwape hiyo kazi.
Ndivyo ulivyo elekezwaTozo ni wizi. Serikali inawaibia wananchi.
Kodi ni kitu halali. Serikali inaendeshwa kwa kodi, hivyo ni wajibu wa wananchi kulipa Kodi.
Sijui umeelewa wewe!?? (Usikute una mibange kichwani)
Ni lini CCM imeacha kupitisha sheria ikiwemo hizo TRA- CHADEMA wanazotumia kumnyanyasa diamond?
Tozo inalipwa bila mtu kuwa amefanya biashara yoyote, ni kama kodi ya lazima kwa kila mwananhiMh. Sugu kaunga mkono juhudi kwa kuhimiza Diamond aache ujanja ujanja alipe kodi. Hili ni jambo jema. Naomba aende hatua zaidi kwa:-
1. kusitisha kampeni ya kuzuia tozo
2. aanze kuhimiza aliwashawishi wakwepe tozo waanze kulipa tozo
Wewe ni msemaji wa Mh. Sugu- ohh wewe ni KUPEKwa hivyo CHADEMA ndio wamemfungia akaunti diamond?. Diamond alikosea aliposema huko TRA Kuna wapinzani wanataka kumgombanisha na mama. Ndio maana Sugu kamjibu Kama kejeli sio kuiunga mkono serikali ya mafisadi ya CCM .
Kodi inatozwa kwa mtu yeyote mwenye kipato na njia ya kujua mtu anakipato ni kuangalia mwenendo wa matumizi yake. Kwa Tanzania matumizi ya mitandao kuhamisha pesa na kulipia huduma yametoa fursa ya kujua kipato na matumizi ya watanzania- wanakatwa tozo ambazo zipo kihalali na kisheria na zinaipa serikali mapato kwa ajili ya kuhudumia wananchi na kujihudumia yenyewe kwanza. ILA KWA UFUPI WA MAONO YAKO endelea na unacho amini.Tozo inalipwa bila mtu kuwa amefanya biashara yoyote, ni kama kodi ya lazima kwa kila mwananhi
Kodi inalipwa toka katika faida unayopata kwenye biashara
Hakuna mwananchi wa kawaida hata mmoja anaweza kuunga mkono kulipa tozo.
Post yako inalenga tu tofauti za itikadi na hao uliowataja, otherwise ikipigwa kura leo watu wachague tozo ifutwe au ibaki, ni maafisa waandamizi wa serikali pekee ndio watasema ibaki
Mnafiki huyo. Ye juzi kwenye kongamano lao iringa si alikuwa anasema mama aondoe sheria za kodi na kumsifia kuwa kwa sasa hawasumbuliwi kulipa kodi.Mh. Sugu kaunga mkono juhudi kwa kuhimiza Diamond aache ujanja ujanja alipe kodi. Hili ni jambo jema. Naomba aende hatua zaidi kwa:-
1. kusitisha kampeni ya kuzuia tozo
2. aanze kuhimiza aliwashawishi wakwepe tozo waanze kulipa tozo
Kwani wakati hao wakina sugu wakililia mboresho ya sheria kandamamizi,hao wakina domoMh. Sugu kaunga mkono juhudi kwa kuhimiza Diamond aache ujanja ujanja alipe kodi. Hili ni jambo jema. Naomba aende hatua zaidi kwa:-
1. kusitisha kampeni ya kuzuia tozo
2. aanze kuhimiza aliwashawishi wakwepe tozo waanze kulipa tozo