GE2025 Sugu: Tume ya Taifa ya Uchaguzi isitishe mchakato wa Uchaguzi mpaka tutakapopata reforms

GE2025 Sugu: Tume ya Taifa ya Uchaguzi isitishe mchakato wa Uchaguzi mpaka tutakapopata reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Akiwa anazungumza leo, Sugu ametoa Ushauri kwa Tume ya Uchaguzi kwamba isitishe mchakato wa Uchaguzi ambao unaendelea mpaka reforms zitakapopatikana

Sugu anasema kwamba Samia pia asiingize nchi kwenye Uchaguzi na kupoteza mabilioni ya fedha kwenyejambo ambalo haliungwi mkono na Watanzania wenyewe

wanainchi wakiamua kupitia sanduku la kura hakuna haja ya mahakama kuingilia kati,

na ikiwa hivyo uchaguzi itakau ni nonsense kitu ambacho ni very wrong.
in short Sungu anaongea pumba tupu :NoGodNo:
 
Hamna reforms zozote zitafanyika, kama kweli mnahitaji reform chukueni hatua na siyo maneno bila vitendo au kujaza comments za No reform no election
 
ALIYEKUAMBIA KUWA WATANZANIA HAWAUNGI MKONO NI NANI USITUSEMEE SISI TUNA TIK NYIE MMESUSA SISI TUNA KULA NA KUKOMBELEZA KABISA KWENYE SAHANI MBRURA NYIE MUACHE
Niwe mkweli tu. Sijawahi kuona mtu anayeandika kwa herufi akawa na akili timamu.
 
JPM alipotaka kuvunja Desderia Hotel, vipepeo walimwambia mbona unataka kutupiga tena
 
wanainchi wakiamua kupitia sanduku la kura hakuna haja ya mahakama kuingilia kati,

na ikiwa hivyo uchaguzi itakau ni nonsense kitu ambacho ni very wrong.
in short Sungu anaongea pumba tupu :NoGodNo:
Wewe ndo unaongea pumba na mashudu kabisa. Huna points gentleman. Punguza blaahblaah
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameishauri Tume huru ya uchaguzi isitishe mchakato wa uchaguzi ilioutangaza mpaka pale mabadiliko kwenye mifumo ya uchaguzi yatakapofanyika.

Akiongea leo August 20,2025, Sugu amesema “Nimesikia juzi katika vitu ambavyo Lissu anashutumiwa ni kuongea uongo kwamba Polisi wameshiriki kuiba kura lakini haya mambo yapo na tunashtaki kila siku, tunaripoti kila siku, video clip zinasambaa kila siku, Kawe kwa Halima Mdee kila mahali haya mambo yanaonekana, sasa tukiyasema badala ya kuyajibu au kuyafanyia kazi mnakimbilia kutukamata, mtakamata wangapi?, lazima tuwe civilised sasa hii nchi yetu sote lazima tufanye vitu sahihi”

“Sasa nini kifanyike, call for action, nashauri Tume huru ya uchaguzi isitishe mchakato wa uchaguzi ilioutangaza”
 
Niwe mkweli tu. Sijawahi kuona mtu anayeandika kwa herufi akawa na akili timamu.
Uko Sahihi,na Mara Nyingi Ni Wazee Wasioona Vizuri Ndio Wanaandikaga Kwa Herufi Kubwakubwa.
Yaani Kuna Makopo Mengi Humu Kama Huyo Jamaa.
 
CHADEMA si walishasema hawashiriki uchaguzi sasa kwanini bado mnaendelea kulialia? Hakuna kitu kitazuia uchaguzi mkuu mwaka huu.... cha muhimu CHADEMA wawapigie magoti mamlaka zinazohusika ili waruhusiwe kushiriki uchaguzi.
 
ALIYEKUAMBIA KUWA WATANZANIA HAWAUNGI MKONO NI NANI USITUSEMEE SISI TUNA TIK NYIE MMESUSA SISI TUNA KULA NA KUKOMBELEZA KABISA KWENYE SAHANI MBRURA NYIE MUACHE
Wewe kapige kura tu, ila watakaokula sio wewe, mpiga kura ni tools za wanasiasa tu.
 
Back
Top Bottom