Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Chedema mmekuwa vichwa nazi sanaWakuu,
Akiwa anazungumza leo, Sugu ametoa Ushauri kwa Tume ya Uchaguzi kwamba isitishe mchakato wa Uchaguzi ambao unaendelea mpaka reforms zitakapopatikana
Sugu anasema kwamba Samia pia asiingize nchi kwenye Uchaguzi na kupoteza mabilioni ya fedha kwenyejambo ambalo haliungwi mkono na Watanzania wenyewe