wanainchi wakiamua kupitia sanduku la kura hakuna haja ya mahakama kuingilia kati,Wakuu,
Akiwa anazungumza leo, Sugu ametoa Ushauri kwa Tume ya Uchaguzi kwamba isitishe mchakato wa Uchaguzi ambao unaendelea mpaka reforms zitakapopatikana
Sugu anasema kwamba Samia pia asiingize nchi kwenye Uchaguzi na kupoteza mabilioni ya fedha kwenyejambo ambalo haliungwi mkono na Watanzania wenyewe
Niwe mkweli tu. Sijawahi kuona mtu anayeandika kwa herufi akawa na akili timamu.ALIYEKUAMBIA KUWA WATANZANIA HAWAUNGI MKONO NI NANI USITUSEMEE SISI TUNA TIK NYIE MMESUSA SISI TUNA KULA NA KUKOMBELEZA KABISA KWENYE SAHANI MBRURA NYIE MUACHE
Wewe ndo unaongea pumba na mashudu kabisa. Huna points gentleman. Punguza blaahblaahwanainchi wakiamua kupitia sanduku la kura hakuna haja ya mahakama kuingilia kati,
na ikiwa hivyo uchaguzi itakau ni nonsense kitu ambacho ni very wrong.
in short Sungu anaongea pumba tupu
Uko Sahihi,na Mara Nyingi Ni Wazee Wasioona Vizuri Ndio Wanaandikaga Kwa Herufi Kubwakubwa.Niwe mkweli tu. Sijawahi kuona mtu anayeandika kwa herufi akawa na akili timamu.
Hiyo ni zero brain.Jitu kama hili la kupotezea tuNiwe mkweli tu. Sijawahi kuona mtu anayeandika kwa herufi akawa na akili timamu.
Wewe kapige kura tu, ila watakaokula sio wewe, mpiga kura ni tools za wanasiasa tu.ALIYEKUAMBIA KUWA WATANZANIA HAWAUNGI MKONO NI NANI USITUSEMEE SISI TUNA TIK NYIE MMESUSA SISI TUNA KULA NA KUKOMBELEZA KABISA KWENYE SAHANI MBRURA NYIE MUACHE