GE2025 Sugu: Tume ya Taifa ya Uchaguzi isitishe mchakato wa Uchaguzi mpaka tutakapopata reforms

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Chedema mmekuwa vichwa nazi sana
 
ALIYEKUAMBIA KUWA WATANZANIA HAWAUNGI MKONO NI NANI USITUSEMEE SISI TUNA TIK NYIE MMESUSA SISI TUNA KULA NA KUKOMBELEZA KABISA KWENYE SAHANI MBRURA NYIE MUACHE
Wengi hatutaki. Kama unabisha anzisha kura za maoni utajua hujui hapa hapa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…