Sugu: Ukiweka siasa pembeni, nampenda Mama Samia

Anampenda

Mmmmmh, Upendo wa Kiafrika au kizungu

Ukimwambia mzungu I love you ni kawaida lakini Ukimwambia mtu mweusi I love you ni shida na a namaanisha upendo hasa ule

Awe makini na upendo wake

Mimi nikiambiwa tu ninakupenda moja kwa moja lazima aliyesema tukakamilishe upendo wenyewe
 
Kwa hiyo tuambie basi, ukitaka kumwambia mama yako unampenda utasemaje
 
Damu zao zinapatana hakuna tatizo.
 
Mama alinifurahisha akihutubia wateule wake alimwambia, nendeni mkashirikiane na mpendane, mwishowe akasema sio mpendane vingenevyo.
 
Nje na kuwa ni Kiongozi wetu mwama siasa.
Aache. Ni mke wa mtu
 
Kwa hiyo tuambie basi, ukitaka kumwambia mama yako unampenda utasemaje
Inategemea wewe ni Mwanaume au Mwanamke

Mwanamke atasema Mama nakupenda sana tena sana

Shida Mwanaume kumwambia Baba yako nakupenda

Lakini ukiwa mtoto kama akina Junior na una miaka 40

Junior Yeye, Yeye na miaka yake 40,Yeye atasema nakupenda sana Baba yangu na anaweza hata akapakatwa na Baba

Junior Yeye hata Mama atamwambia nakupenda sana Mama na kumpigia busu Mwaaa mwaaaaa Mwaaa, Kumbuka junior hapo ana miaka 40

Ngoma inakuja kwa wale wenzangu ambao waliachishwa kunyonya kwa pilipili na Mama kuweka plasta kwenye chuchu

Junior mpaka yupo Darasa la tano bado ananyonya maziwa ya Mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukumbu za bunge zinasoma mbunge mstaafu Joseph Mbilinyi

2020 hakuna aliyeshinda au kushindwa bali wapo waliopitishwa.

Hata wewe ungegombea ungeshinda sema uliogopa ukapitia mlango wa vitu maalumu!

Duh umempa makavu, sa zingine unakuwa na nukta ya akili
 
Chuchu zinapigwa plasta.!? Sikuwahi kusikia hii.
 
Jukwaa la mapenzi lingepokea hoja yako kwa heshima sana.
 
Kumbukumbu za bunge zinasoma mbunge mstaafu Joseph Mbilinyi

2020 hakuna aliyeshinda au kushindwa bali wapo waliopitishwa.

Hata wewe ungegombea ungeshinda sema uliogopa ukapitia mlango wa vitu maalumu!
CCM Mmeokota okota watu kwa kua tu wapo chadema. Zigo hilo mnalo 😂
 
Hii video ndio ilifanya aseme hivyo. Baada ya mama kusema nyie tokeni huko.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…