Sugu: Ukiweka siasa pembeni, nampenda Mama Samia

Politics aside, tumekuelewa Joseph
 
Vyuma hivo sugu anatafuta ukuu wa wilaya
 
\duuh!! kwahiyo wazazi wako hawajawahi kukuonyesha upendo? au ndio umekuwa ukikamilisha nao? hiyo imekaaje? Tafadhali tengua kauli yako kwa maslahi mapana ya heshima ya familia yako.
 
Sugu sio mstaafu alishindwa Ubunge,nilishawahi kusema Chadema ni CCM B
Basi kama ilivyo kwa jamaa ako mmoja aliye shika siti ya mbele kwenye huu uzi, hujui maana ya neno, UPENDO! Wewe kama ungekuwa naibu waziri wa habari, lazima ungezalishwa na mkuu wa fedha wa sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…