MKUU Tanzania uwa kuna maigizo, na bidhaa zikipanda bei uwa kamwe hazirudi bei zake za awali. Hukumbuki 2015 sukari ilikuwa haijafika hata 2000, wakapiga maruduku sukari toka nje ikapanda haikuwahi tena kurudi 1800, na sasa hivi haitokaa irudi bei yake ya awali kamwe.