Sukari imegoma kushuka bei?

Sukari imegoma kushuka bei?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa kama hizi sifa wanazopewa vipngozi wa nchi hii huwa zinazingatia misingi gani.

Hivi kweli serikali imeshindwa kabisa mushughulikia bei ya sukari.

Nimekua na muda mrefu kidogo sinunui sukari kwa sababu nilikua na stock kubwa kidogo. Leo nimepita dukani nimenunua sukari kwa sh 3800. Serious? Sukari kweli 3800 nchi hii?

Yani nchi hii leo tunanunua sukari kwa sh 3800?
 
MKUU Tanzania uwa kuna maigizo, na bidhaa zikipanda bei uwa kamwe hazirudi bei zake za awali. Hukumbuki 2015 sukari ilikuwa haijafika hata 2000, wakapiga maruduku sukari toka nje ikapanda haikuwahi tena kurudi 1800, na sasa hivi haitokaa irudi bei yake ya awali kamwe.
 
Hii nchi ni ya kuiangalia tu na kutikisa kichwa. Utafanyaje Sasa mkuu. Ndio tayari tushafikia huku.
 
Fanyeni mgomo wa matumizi ya sukari
Ila mkumbuke sukari ni addiction

Ova
 
Awamu ya viwanda vya porojo hii,mpka aondoke bei itakua elfu 10 kwa kg
 
Back
Top Bottom