Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa kama hizi sifa wanazopewa vipngozi wa nchi hii huwa zinazingatia misingi gani.
Hivi kweli serikali imeshindwa kabisa mushughulikia bei ya sukari.
Nimekua na muda mrefu kidogo sinunui sukari kwa sababu nilikua na stock kubwa kidogo. Leo nimepita dukani nimenunua sukari kwa sh 3800. Serious? Sukari kweli 3800 nchi hii?
Yani nchi hii leo tunanunua sukari kwa sh 3800?