Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Hao ndio wazamiaji (kutoka nchi jirani) walioko serikalini kulingana na taarifa ya CDF hawana uchungu na ninyi watanganyika.
 
Watanganyika wanataka sukari. KIZIMKAZI anataka wazamini wa birthday party yake ifanyike wapi.wakati watanganyika hawana umeme n sukari.kashindwa.
 
Wanajua kabisa nchi haina Raisi ndio maana wanaficha sukari ila angekuwepo wasingefanya hivyo.
 
kunywa soda au nunua asali ndugu..

miwa imejaa maji sana haifai na haiwezekani kuzalisha sukari kwasasa
 
Waziri wa Fedha na wa viwanda ni ma dokta, wanashindwa kutengeneza mfumo wa tehama wenye kujua sukari iliyo zalishwa , iliyo uzwa na iliyo Baki .au mpaka Raisi awaaambie au Bashe
 
Sukari wala siyo kitu cha kulalamikia. Hata watanzania wakiamua kuitumia hadi milele haina shida. Kwanza ukiacha kutumia sukari faida za kiafya ni nyingi.

Mbona mimi nimeacha.
 
Dume zima linakuja lilia sukar jamii forum...si bora ufe tu ukawe faida kwa mchwa na funza...yaan
 
Ni kupoteza muda, changamoto kibao. Hivi kuna Rais aliyopita aliwahi kusherekea birthday yake na keki?

Nimemsikia hapo mwisho wa kuwalisha keki akimwambia msaidizi wake sisi hatuli keki yao, hatujui imetoka wapi.
 
Nchi ya ajabu kweli
Zama hizi sukari inagombaniwa

Naona watu wanalishana keki hapo

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…