Jana mimi nimeenda maduka kibao sukari wakawa hawana na nilipoipa kilo 4000Baada ya serikali kupiga marufuku wafanya biashara kupandisha bei ya sukari (4000tsh had 4500tsh), na badala yake bei elekezi ya 2800-3000 ifuatwe;
Mtaani kwetu Ubungo Kisiwani (External)bado bei hazijashuka hadi sasa, naomba kujua ni hatua gan serikali inachukua ili kuhakikisha pale bei elekezi inapotolewa, wafanya biashara waweze kuiadapt kwa wakati??
Nani anajali?, kama kina kipara na yule mchumi wa singida ndo wapiga dili wakubwa usitegemee sukari ishukeBaada ya serikali kupiga marufuku wafanya biashara kupandisha bei ya sukari (4000tsh had 4500tsh), na badala yake bei elekezi ya 2800-3000 ifuatwe;
Mtaani kwetu Ubungo Kisiwani (External)bado bei hazijashuka hadi sasa, naomba kujua ni hatua gan serikali inachukua ili kuhakikisha pale bei elekezi inapotolewa, wafanya biashara waweze kuiadapt kwa wakati??
sukari siyo kitu cha lazima kiviiiiiileBaada ya bod ya sukari kutoa bei elekezi kuwa sukari isizidi shilling 3000 lakini bado mtaani tunanunua sukari shilling 4500 hadi 5000.
Kwa wenzetu waislamu mwezi Ramadhan unaingia hivi karibu sasa kwa huu mfumko wa bei maisha yatakuwaje kwa wenzetu wa imani hiyo
Bodi ya sukari acheni kukaa ofsi ingia mtaani muone bei ya sukari ilivo juu, inaumiza Wananchi
Sasa najiuliza sisi mkoa wa Kagera tupo karibu na mzalishaji wa Sukari ambaye ni Kagera sugar tunanunua sukari bei kubwa sijui kwa Tandahimba huko wana bei gani
Mfumko wa bei uko juu mno sukari, mafuta ya kupikia juu, petrol juu, nauli juu, umeme ni kata washa, maisha yetu ni magumu mno sisi wa kijijini
Serikali hebu amueni kututumika wananchi mzigo ni mkubwa mno
Daaah huko Tarime hamtumii sukarisukari siyo kitu cha lazima kiviiiiiile
huku tarime tunagonga uji na togwa bila hiyo kitu. muhimu maziwa na unga
sukari wacha tu ipande
Kweli kabisa mkuuhaijaliahi ramadhan inaingia au vp ila hyo bei n kubwa sana ishuke
Mandazi, juiceSukari siyo kitu cha lazima kwenye mlo, ipande tu.