Ni nzito mkuu na haija mixiwa na chochoteDuh ni ile nzitoo au nyepesi
daaaahkumbe hutaki ndoa sababu unaishi porini! Sogea mjini mkuu huko mbona porini sasa unatofauti gani na sokwe wa gombe?๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐ sasa hao wanaonunua elf 5 sjui 4. Wanaishi wapi??3500
joke mkuu๐๐๐ฝdaaaah
Hapana ๐๐Elfu 25 tajiri๐๐
wewe shngap mkuu unanunua?๐๐๐ sasa hao wanaonunua elf 5 sjui 4. Wanaishi wapi??
Mi hata sijui kwa kweli yaani tangu waseme imepanda bei mimi nanunua kwa hiyo 3500 na sijawahi kuikosa ipo ya kumwaga.๐๐๐ sasa hao wanaonunua elf 5 sjui 4. Wanaishi wapi??
Usiniambie pamoja na kuagiza mkoani bado yule mzee ananipiga. Nimenunua lita 5 kwa 100k na hapo kanipinguzia etiHapana ๐๐
Shida mnaishi Dar ambako hata kulima mchicha hamjui.
Mimi Jan to Dec duka langu ni moja. Tokea 2600 mpk 3600.Mi hata sijui kwa kweli yaani tangu waseme imepanda bei mimi nanunua kwa hiyo 3500 na sijawahi kuikosa ipo ya kumwaga.
Haha labda amekupa bei ya Village supermarket. Mimi nakutajia za Shoppers, haziwezi kufanana la mama.Usiniambie pamoja na kuagiza mkoani bado yule mzee ananipiga. Nimenunua lita 5 kwa 100k na hapo kanipinguzia eti
lita 1 sh ngapi๐๐๐mashukuru Mungu chai sio mambo yanguDuuuh karibuni kwenye matumizi ya sukari mbadala (Asali)
Huyu mzee nitamtumia majini tu haiwezekani.Haha labda amekupa bei ya Village supermarket. Mimi nakutajia za Shoppers, haziwezi kufanana la mama.
Ya nyuki wakubwa wakubwaa ndio tamuuu.Ya nyuki. Utachagua wakubwa au wadogo.