Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

KG 25 =83000/=
Inategemeana na muuzaji kaamkaje. Wengine wanauza 84,82.

1 KG =3600/=
 
Ukiona Nchi 2024 tunahangaika na uwepo wa Sukari sijui mafuta ya kupikia jua hakuna Nchi hapo...
 
😂😂😂 sasa hao wanaonunua elf 5 sjui 4. Wanaishi wapi??
Mi hata sijui kwa kweli yaani tangu waseme imepanda bei mimi nanunua kwa hiyo 3500 na sijawahi kuikosa ipo ya kumwaga.
 
Hapana 😂😂
Shida mnaishi Dar ambako hata kulima mchicha hamjui.
Usiniambie pamoja na kuagiza mkoani bado yule mzee ananipiga. Nimenunua lita 5 kwa 100k na hapo kanipinguzia eti
 
Mi hata sijui kwa kweli yaani tangu waseme imepanda bei mimi nanunua kwa hiyo 3500 na sijawahi kuikosa ipo ya kumwaga.
Mimi Jan to Dec duka langu ni moja. Tokea 2600 mpk 3600.
Hata walipokuwa wanalalamika sukari elf5. Sikuwahi shuhudia kuuziwa sukari kwa hiyo bei…
 
Usiniambie pamoja na kuagiza mkoani bado yule mzee ananipiga. Nimenunua lita 5 kwa 100k na hapo kanipinguzia eti
Haha labda amekupa bei ya Village supermarket. Mimi nakutajia za Shoppers, haziwezi kufanana la mama.
 
Back
Top Bottom