- Thread starter
- #21
🤣🤣🤣🤣Sahivi utasikia,mi situmii chai naogopa kunenepa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Sahivi utasikia,mi situmii chai naogopa kunenepa
Ah, wapi!Ukiwa mwanakijani unauziwa aftatu. Hiyo bei ni kwa wapinzani wasioitakia mema nchi yetu, kijani sio sukari tu hata asali wanalamba.
🤣🤣🤣Si tumekubaliana awamu ya six mama anaupiga mwingi thaana 😁🤣
😂balaa🤣🤣🤣🤣
Una utani wewe!
Poleni nyie watumia sukariSahivi utasikia,mi situmii chai naogopa kunenepa
Ngoja nami niache aiseePoleni nyie watumia sukari
Ova
Tutachanganya chai na juice ya miwaMuwe na alasiri njema!
Yes, exactly. Ndipo tutagundua wazee wetu zama hizo walikunywa uji kwa malimao au maziwa mgando, walikula ugali, kande, mtori na mazagazaga mengine asubuhi kabla hawajaenda kazini- nyie mmekalia sukari, haya sasa.Ndipo tutagundua andazi bila chai nalo kumbe linatafunika
Hey; We jamaa? Utaulizwa hiyo kitu kule unakofikia. aka. kikao cha watu 2 tu.Sisi mabachelor haituhusu hiyo.
Tsh.3000/- @KgKwani mwanzo bei ilikuaj chief
Na bado hiyo sukari itauzwa bei ya chini kuliko ya kwetu , ndio tushangae . Hata ya Malawi ni bei ya chini , lakini wanatulazimisha wananchi tununue sukari yetu kwa bei ghali , hawa jamaa sijui wakoje !Ila nchi za afrika bana,yaani kila duka unakuta kuna sukari inatoka brazil . Sasa najiuliza hivi viwanda vyetu sukari vinaweka wapi baada ya kuzalisha?
Sasa fikiria hata wewe sukari itoke brazil ni kilometer ngapi mpaka hapa? Halafu zingatia na shilingi yetu ilivolegea dhidi ya dollar