Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

KIZIMKAZI hana muda na Watanganyika. Nina uwakika hata hajui llte kuhusu Sukari kapandishwa na wafanyabznes. Na YY kukosa Neno lakusema. Subilia tu
 
Leo nimenunua kilo 5 za sukari kila kilo ni 5600tsh hapa Mbezi mwisho.

Hii inaweza kuwa Dar je huko uliko wewe sukari inauzwa bei gani .


USSR
 
3600 mbeya
Mahindi debe elfu kumi na nne
Viazi Mviringo debe elfu 9

Hamieni Mbeya Tu Dar iwe ya kuchukua BIDHAA za kibiashara na kuleta huku mbeya

MBEYA NI FULL MISOSI HUKU HATULI MAHARAGE NA CHAPATI [emoji16][emoji16][emoji16]
 
1.Sisiemu hoyeeee...mnaisoma namba?

2.Ndiyooooo

.1. Na badoo mtaisoma kwa KiHadzabe..
 
Nimenunua juzi kilo 1 shilingi 4,400

Kigamboni dsm
 
Back
Top Bottom