Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Naanhalia itv habari
Wafanyabiashara saba wamekamatwa kwa kuficha sukari

Sasa ukishawakamata mnatuambiaje je sukarii itashuka bei

Sisi tunaka bei ishuke jaman tumechokaaa
Wajaa laana wamejazana serikalini
 
Pongezi kwa Profesa Janabi kwa kuishinikiza Serikali kuongeza bei ya sukari. Asiishie hapo tu aende kwenye nyama ifike hadi elfu 30 huko. Haiwezekani watu wafe kizembe.
Looooo
 
Naangalia ITV habari

Wafanyabiashara saba wamekamatwa kwa kuficha sukari

Sasa ukishawakamata mnatuambiaje, je sukarii itashuka bei

Sisi tunaka bei ishuke jaman, tumechokaaa
wewe inaelekea ni mfanyabiashara
 
Pongezi kwa Profesa Janabi kwa kuishinikiza Serikali kuongeza bei ya sukari. Asiishie hapo tu aende kwenye nyama ifike hadi elfu 30 huko. Haiwezekani watu wafe kizembe.
Ukitaka watu wapunguze kitu damage mfuko tu
 
Wana JF, nilikuwa nawaza hivi hii bei ya sukari yaani huku Dar mpaka inafika 4600/= ndo mambo gani haya? Mbona hakuna anaetutetea kwa hili?

Sasa badala yake, watu wamekaa na vinyongo moyoni. Tutafika kweli?

Na ukiona watu wa Dar wako hoi, je huko mikoani?

Msitufundishe tabia mbaya 2025.
 
Kuna wajinga humu watakwambia hawaoni sababu ya maandamano
 
Mzee Kadenge anauliza Watanzania tujikite kuomba mvua ili mabwawa yajaye maji tuondokane na mgawo wa umeme na maji au tumwombe Mungu mvua isinyeshe ili tupate miwa kisha tuvune na kupata sukari?

Anamalizia kwa kusema Mungu ana kazi nyingi wanasiasa wajitahidi sana kuiepusha nchi na mkono wake wenye mapigo saba.

Wewe mwenzetu unataka umeme au unataka sukari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…