Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ujue hili la sukari limekaa kuumizana
Wakazi wa Mbeya na Songwe walikuwa wanahojiwa majuzi taarifa za habari wakase. Sukari ya Tanzania imeadimika imefichwa na wenye pesa bei juu wananchi wanashindwa kununua
Walipohojiwa hizo za madukani za wapi wakasema huku Songwe hatuna shida sukari inauzwa ya Zambia tena kwa bei nzuri kabisa
Tatizo wafanyabiashara wenyewe wameamua kuwaumiza wananchi ila wee njoo Mbeya unywe chai utakavyo na sukari ya Mbeya
Heri waishiyo maeneo ya boarder maana ufalme wa sukari ni wao.
Kila la kheri ndugu zangu wacha tupambane na hali zetu na buku 5 kwa kg