Tatizo hili linchi kila kimtu kinaona sifa kupandisha bei ya bidhaa na Huduma,wakati mwengine bila kuwa na sababu za msingi.
sasa haya ni matokeo ya kuendekeza rushwa,u-middle men na uchuuzi hata kwenye huduma za msingi.
Msilalamike,kubalianeni na hali halisi au tujadili jinsi ya kuboresha mambo.
Kama wewe ni mtyoa huduma,je uko tayari kutoza kwa kadri ya thamani halisi ya huduma yako?kama unauza kiwanja uko tayari kukiuza kwa kutumia Tshs?
Unaopeomba rushwa hospitali kwa trafki ujue kesho ukikatiza na kigari bubu chako,atakudai rushwa mara 2 ya uliyomuomba.circle za aina hii ndio zinasababisha mifumuko ya bei isiyo na kichwa wala miguu.
hatujajiwekea limits,mfano tuamue kuwa bei ya sukari ni Tshs 100 ikizidi hapo hatununui..,guess what,kuna mijitu dont care..,kinachotokea watumiaji wa sukari wanapungua siku hadi siku na viwanda vinaongeza bei kucover costs.what a vicious circle!