Sukari inafika kilo1 shilingi 2,000/=(elfumbili)!

Sukari inafika kilo1 shilingi 2,000/=(elfumbili)!

Thread yako imenitisha sana,!!! wala sina maneno kwa sasa
 
hapana kaka,hata ukiletewa hadi nyumbani si unalipia na delivery charge,siko tz kwa sasa ndio maana sijui bei za vyakula kwani zinapanda kila mara.

1. I am sorry, mimi sio kaka
2. hao niliokuwa nawasema mimi wanaletewa nyumbani huwa hawalipi chochote, huwa ni zawadi kwa MZEE/MAMA
 
Usiogope tu kurudi nyumbani...! Home sweet home.

Lazima nirudi, mwezi ujao narudi nyumbani, ila inabidi nijihami, nikishuka tu airport naanza kujihami, maana haya si maisha sasa. inahuzunisha sana
 
Lazima nirudi, mwezi ujao narudi nyumbani, ila inabidi nijihami, nikishuka tu airport naanza kujihami, maana haya si maisha sasa. inahuzunisha sana
Kujihami uko kwa namna gani, ebu nasi tufahamishe ili tujuwe jinsi ya kujihami.
 
Kujihami uko kwa namna gani, ebu nasi tufahamishe ili tujuwe jinsi ya kujihami.

Kufanya kazi mbili au tatu, employer wako anakuwa 'kama mke mkubwa' unatafuta 'nyumba ndogo nyingi tu' I mean part time jobs, ili mradi mkono uende kinywani.
 
Hakuna kiongozi mwenye kushughulishwa na hali hii kwa sasa. macho na akili zao zimejikita ktk kufanikisha wanashinda uchaguzi ujao. NCHI IMEKOSA MUELEKEO . tungebinafsisha nafasi ya URAIS /WAZIRI MKUU kwa kipindi cha miaka 5 huenda muelekeo ungepatikana .
 
Nilisoma somewhere (au nilisikia) that sukari sio nzuri sana kwa afya.
I am not very sure.
But these days nimehamia kwenye asali (natural).
May be we should try this.
Bei ya Asali ni mara 3 ya bei ya sukari.Kwa vyovyote Mtanzania wa kawaida hawezi kumudu achilia mbali faida zake kiafya.
 
Tatizo hili linchi kila kimtu kinaona sifa kupandisha bei ya bidhaa na Huduma,wakati mwengine bila kuwa na sababu za msingi.

sasa haya ni matokeo ya kuendekeza rushwa,u-middle men na uchuuzi hata kwenye huduma za msingi.

Msilalamike,kubalianeni na hali halisi au tujadili jinsi ya kuboresha mambo.

Kama wewe ni mtyoa huduma,je uko tayari kutoza kwa kadri ya thamani halisi ya huduma yako?kama unauza kiwanja uko tayari kukiuza kwa kutumia Tshs?

Unaopeomba rushwa hospitali kwa trafki ujue kesho ukikatiza na kigari bubu chako,atakudai rushwa mara 2 ya uliyomuomba.circle za aina hii ndio zinasababisha mifumuko ya bei isiyo na kichwa wala miguu.

hatujajiwekea limits,mfano tuamue kuwa bei ya sukari ni Tshs 100 ikizidi hapo hatununui..,guess what,kuna mijitu dont care..,kinachotokea watumiaji wa sukari wanapungua siku hadi siku na viwanda vinaongeza bei kucover costs.what a vicious circle!
 
Kufanya kazi mbili au tatu, employer wako anakuwa 'kama mke mkubwa' unatafuta 'nyumba ndogo nyingi tu' I mean part time jobs, ili mradi mkono uende kinywani.
Mkuu kwa mazingira ya bongo si utajitafutia ngwengwe (TB).
 
Wenye viwanda vya sukari ni wadau wazuri tu wa chichiemu mnajua hilo? yaliyobaki jazieni wenyewe.
 
Wengine tushaacha kunywa chai ya sukari kwa kasi hii...hatutafika
 
kwa namna hii lunch ya wali+kuku ni kama sh 10,000 bila vinywaji/matunda etc

Kwani unakula kilo nzima ya kuku kwa mlo mmoja tu? Hizo shilingi 10,000 ni pesa nyingi sana usizifanyie mchezo.
 
Serikali ilipeleka pendekezo la kuagiza sukari kutoka nje kwenye EAC wiki hii au iliyopita!

Labda wataanza kuruhusu uagizaji kutoka nje ili kupunguza nakisi. sasa cha ajabu utasikia kampuni za sukari zikianza kusema wana sukari wakati sasa hivi sukari hakuna ikumbukwe kuwa katika viwanda vinne vya sukari nchini (kilombero, mtibwa, kagera na TPC Moshi) viwanda vitatu isipokuwa kilombero wanauhusiano wa umilikaji wa hisa (mwarabu mmoja anamiliki mtibwa na kagera lakini pia nasikia anahisa TPC). kwa hiyo yawezekana kuna collusion ya kupandisha bei kwa kiasi hicho, nadhani wanaangalia ifike tshs2000per kg.
 
Kwani unakula kilo nzima ya kuku kwa mlo mmoja tu? Hizo shilingi 10,000 ni pesa nyingi sana usizifanyie mchezo.

unajua idadi ya watu katika familia yangu?baba,mama,watoto 3,hse girl,watotot wa mjomba 2 na mgeni yeyote atakayekuwepo kwa siku hio(huyu anaweza kuwa bibi,babu,mjomba,shangazi,rafiki).
 
Kheri ya wewe umewasilisha malalamiko yako humu watanzania wengi wanagugumia tu....nilisikia wakubwa wataagiza tani elfu 50 kupunguza makali ya bei...wtz tuendelee kuwa wavumilivu ndio utamaduni wetu..kaazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom