Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope tu kurudi nyumbani...! Home sweet home.Thread yako imenitisha sana,!!! wala sina maneno kwa sasa
hapana kaka,hata ukiletewa hadi nyumbani si unalipia na delivery charge,siko tz kwa sasa ndio maana sijui bei za vyakula kwani zinapanda kila mara.
1. I am sorry, mimi sio kaka
2. hao niliokuwa nawasema mimi wanaletewa nyumbani huwa hawalipi chochote, huwa ni zawadi kwa MZEE/MAMA
Usiogope tu kurudi nyumbani...! Home sweet home.
Kujihami uko kwa namna gani, ebu nasi tufahamishe ili tujuwe jinsi ya kujihami.Lazima nirudi, mwezi ujao narudi nyumbani, ila inabidi nijihami, nikishuka tu airport naanza kujihami, maana haya si maisha sasa. inahuzunisha sana
Kujihami uko kwa namna gani, ebu nasi tufahamishe ili tujuwe jinsi ya kujihami.
Bei ya Asali ni mara 3 ya bei ya sukari.Kwa vyovyote Mtanzania wa kawaida hawezi kumudu achilia mbali faida zake kiafya.Nilisoma somewhere (au nilisikia) that sukari sio nzuri sana kwa afya.
I am not very sure.
But these days nimehamia kwenye asali (natural).
May be we should try this.
Mkuu kwa mazingira ya bongo si utajitafutia ngwengwe (TB).Kufanya kazi mbili au tatu, employer wako anakuwa 'kama mke mkubwa' unatafuta 'nyumba ndogo nyingi tu' I mean part time jobs, ili mradi mkono uende kinywani.
Mkuu kwa mazingira ya bongo si utajitafutia ngwengwe (TB).
kwa namna hii lunch ya wali+kuku ni kama sh 10,000 bila vinywaji/matunda etc
Kama kubaki kwako abroad kuna lipa kwanini usibaki uko uko maana maisha popote ndugu yangu.Naona unaniambia nibaki abroad!
Kwani unakula kilo nzima ya kuku kwa mlo mmoja tu? Hizo shilingi 10,000 ni pesa nyingi sana usizifanyie mchezo.