Sukari yafika 3500 kwa Kg 1 na hiyo ni Dodoma..ila hatusikii kelele kama alizopigiwa Magufuli

Huelewi sababu we 1kg unatumia mwezi mzima.. huna tumizi na sukari

Waache wanaotumia sukari kwenye shughuli zao za kila siku walalamike
Mi sukari nikinunua kg moja nakaa nayo miezi hata mitatu au sita,
 
Sioni umuhimu wa sukari.
Ipotezwe tu kama ambavyo ina poteza ndugu zetu kwa kisukari na matatizo mengine lukuki ya kiafya.
Binafsi si mnazi wa sukari.
 
Sukari toka kipindi cha Magu bei yake ndio hio hio tu,

Btw, kati ya kitu ambacho waTz huwa wanalalamika kikipanda bei na huwa siwaelewi ni sukari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui anaishi nchi gani huyu sukari toka magu bei imebaki hiyohiyo
 
Kwanza watu wana pesa ya kununulia wapige kelele za nini?

Wakati wa mwendazake ilifika mpaka 5,000 na haipatikani.
 
Hili tatizo la sukari kuadimika kila mara sijui why hawalitafutii muafaka [emoji35]
 
Na bado inazidi kupanda.
Mpaka mwakani mwezi wa 12 itakuwa 4000 kwa 1kg.
Hilo liko wazi... Uongozi ni kipawa waswahili husema...Si kila mtu anafaa kuwa kiongozi..

Yaani kuna hawa wanaitwa viongozi wetu ukiwaangalia tu hawana sifa za wao kuwa viongozi ila undugu,kujuana na kamleteni ndio imetufikisha hapa
 
Dawa nikwenda alipozikwa Magufuli ukashitaki
 
Now Tsh 4000 mama unaupga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…