Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Wewe wasema😅Nani? Samia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasema😅Nani? Samia?
Juice wala haihitaji sukari, keki sio bidhaa muhimu,Vitu gani bana, kwenye chai na juice na keki au 😂😂😂
Mi sukari nikinunua kg moja nakaa nayo miezi hata mitatu au sita,Huelewi sababu we 1kg unatumia mwezi mzima.. huna tumizi na sukari
Waache wanaotumia sukari kwenye shughuli zao za kila siku walalamike
Sijui anaishi nchi gani huyu sukari toka magu bei imebaki hiyohiyoSukari toka kipindi cha Magu bei yake ndio hio hio tu,
Btw, kati ya kitu ambacho waTz huwa wanalalamika kikipanda bei na huwa siwaelewi ni sukari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza watu wana pesa ya kununulia wapige kelele za nini?Unafiki wa watanzania ndio hapa..hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko...vitu vimepanda bei zaid ya mara tatu ya enzi za magufuli ila watu kimyaa..
Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu
Na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi... Unaweza tumia vijiko vitatu ndio uone chai inasukari
Umejitahidi kuwekeza kwenye uongoNaweza kukaa mwaka mzima bila kutumia sukari na hakuna nitakachopoteza
Kwa nini unamuita mwendazake? Yule ni Hayati MagufuliKwanza watu wana pesa ya kununulia wapige kelele za nini?
Wakati wa mwendazake ilifika mpaka 5,000 na haipatikani.
Na bado inazidi kupanda.Hahaha braza sukari ni kakiungo muhimu sana kwenye vitu vingi...ila kiujumla vitu vimepanda bei sana yaani sana
Hilo liko wazi... Uongozi ni kipawa waswahili husema...Si kila mtu anafaa kuwa kiongozi..Na bado inazidi kupanda.
Mpaka mwakani mwezi wa 12 itakuwa 4000 kwa 1kg.
Dawa nikwenda alipozikwa Magufuli ukashitakiUnafiki wa watanzania ndio hapa..hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko...vitu vimepanda bei zaid ya mara tatu ya enzi za magufuli ila watu kimyaa..
Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu
Na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi... Unaweza tumia vijiko vitatu ndio uone chai inasukari