Sukari yafika 3500 kwa Kg 1 na hiyo ni Dodoma..ila hatusikii kelele kama alizopigiwa Magufuli

Sukari yafika 3500 kwa Kg 1 na hiyo ni Dodoma..ila hatusikii kelele kama alizopigiwa Magufuli

Huelewi sababu we 1kg unatumia mwezi mzima.. huna tumizi na sukari

Waache wanaotumia sukari kwenye shughuli zao za kila siku walalamike
Mi sukari nikinunua kg moja nakaa nayo miezi hata mitatu au sita,
 
Sioni umuhimu wa sukari.
Ipotezwe tu kama ambavyo ina poteza ndugu zetu kwa kisukari na matatizo mengine lukuki ya kiafya.
Binafsi si mnazi wa sukari.
 
Sukari toka kipindi cha Magu bei yake ndio hio hio tu,

Btw, kati ya kitu ambacho waTz huwa wanalalamika kikipanda bei na huwa siwaelewi ni sukari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui anaishi nchi gani huyu sukari toka magu bei imebaki hiyohiyo
 
Unafiki wa watanzania ndio hapa..hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko...vitu vimepanda bei zaid ya mara tatu ya enzi za magufuli ila watu kimyaa..

Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu
Na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi... Unaweza tumia vijiko vitatu ndio uone chai inasukari
Kwanza watu wana pesa ya kununulia wapige kelele za nini?

Wakati wa mwendazake ilifika mpaka 5,000 na haipatikani.
 
Hili tatizo la sukari kuadimika kila mara sijui why hawalitafutii muafaka [emoji35]
 
Na bado inazidi kupanda.
Mpaka mwakani mwezi wa 12 itakuwa 4000 kwa 1kg.
Hilo liko wazi... Uongozi ni kipawa waswahili husema...Si kila mtu anafaa kuwa kiongozi..

Yaani kuna hawa wanaitwa viongozi wetu ukiwaangalia tu hawana sifa za wao kuwa viongozi ila undugu,kujuana na kamleteni ndio imetufikisha hapa
 
Unafiki wa watanzania ndio hapa..hakuna cha chama cha upinzani wala wanaharakati koko...vitu vimepanda bei zaid ya mara tatu ya enzi za magufuli ila watu kimyaa..

Nimeamini zile kelele za vyuma vimekaza ni za washenzi waliobaniwa mirija yao tu
Na sukari yenyewe zimejazwa vumbi tu hazikoi... Unaweza tumia vijiko vitatu ndio uone chai inasukari
Dawa nikwenda alipozikwa Magufuli ukashitaki
 
Back
Top Bottom