saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa.
"Sukuma Gang hicho kitu hakipo hakuna kitu kama hicho haipo na kwanini iwepo yaani kwa sababu zipi iwepo? alafu hao ni wakinanani kuna wahuni wachache wameamua kutengeneza ka syndicate kakuchafua watu na nini lakini nataka nikuhakikishie hakuna kitu kama hicho," - amesema.
Mabula alikuwa anazungumza katika kipindi cha The Gig Agenda kinachotangazwa na STAR TV na Mtozi Aloyce Nyanda, jana Disemba 30, 2022