Sukuma Gang imeanzishwa na wahuni, haipo Kanda ya Ziwa

Sukuma Gang imeanzishwa na wahuni, haipo Kanda ya Ziwa

Watu kutoka Rwanda na Burundi wameharibu sifa nzuri ya wasukuma hao wakifika huko hujifunza kisukuma na kujifanya wenyeji kupita wasukuma wenyewe na hao ndio huanzisha vurugu za kisiasa lakini kiasili wasukuma ambao wanasifika kwa ufugaji na ukulima hodari waliweza kujijengea kuaminika na makabila karibu yote Tanzania, anzia yale waliyokaribu nayo mara, kagera, kigoma, watu wa mikoa hiyo base yao ni Mwanza ambapo huchukuliwa kama makao makuu yao hapo ndio unaona walivosambaa wasukuma anzia Mwanza, Geita, Tabora, Shinyanga, Simiyu, lakini pia wasukuma waliweza kwenda mikoa mingine kutafuta malisho ya mifugo yao na ardhi anzia pwani, lindi, mtwara, morogoro, hasa ifakara na mgeta, katavi, nkasi huko na sumbawanga, wasukuma ni watu wasio na maneno mengi sana lakini ni watu wa vitendo na hata migodini huko chunya mbeya na songwe utakuta wao ndio wachapa kazi na alipo msukuma hua hakuna njaa kabisa na walijitahidi kusambaza zao la mpunga karibu mikoa yote Tanzania bila roho mbaya, lakini wasukuma ni watu waaminifu mno hawageuzi maneno kabisa, wasukuma ni watu safi kabisa.
 
Wasukuma kutaniwa karibu na makabila yote ni sababu ya ukarimu wao, lakini wao walio wengi hutaniwa ni washamba lakini hawa jamaa ni wajanja sana sema hawataki matatizo na watu hebu angalia mzee cheyo, kishimba, chenge hawa wana ushamba gani kwa mfano?
 
lakini kiasili wasukuma ambao wanasifika kwa ufugaji na ukulima hodari waliweza kujijengea kuaminika na makabila karibu yote
Uko sahihi kabisa, wasukuma asilia ni wastaarabu, wakarimu, wema na wanyenyekevu wenye kujali udugu popote walipo, wengi tumeshitushwa na spishi fulani mpya ya wasukuma wana harufu ya ukwere, tangu kunakucha mpaka linazama ni vijembe, masimango, kejeli nk
 
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa.

"Sukuma Gang hicho kitu hakipo hakuna kitu kama hicho haipo na kwanini iwepo yaani kwa sababu zipi iwepo? alafu hao ni wakinanani kuna wahuni wachache wameamua kutengeneza ka syndicate kakuchafua watu na nini lakini nataka nikuhakikishie hakuna kitu kama hicho," - amesema.

Mabula alikuwa anazungumza katika kipindi cha The Gig Agenda kinachotangazwa na STAR TV na Mtozi Aloyce Nyanda, jana Disemba 30, 2022
Waumini wa Magufuri ndiyo Sukuma gang.
 
Kisa changu na rafiki yangu wa sehemu inaitwa Mallya, ndio mara ya kwanza kwenda usukumani enzi hizo kulikua na njaa sana Tanzania na mahindi tuliyachukua Uganda kwa ajili ya kuuza nchini na wao mwaka ule walivuna sana , barabara nakumbuka zilikua mbovu sana , mwenyeji wangu alinipatia mchongo wa kupeleka mahindi kwao minadani, na kweli pamoja na dhoruba za barabara lakini tulifika kule mallya, siku nafika kwanza ilikua kama saa 12 jioni shemeji yangu mke wa jamaa alinichemshia maji ya kuoga na mambo yakawa safi hapo nimeoneshwa sehemu ya kulala tayari kwanza zikaletwa karanga za kukaangwa, maziwa mgando na viazi vya kuchemshwa nikajua mambo yameishia hapo tukaenda kutembea sokoni jioni jioni huko nikakutanishwa na mtendaji nikatambulishwa, lakini pia tukakutana na katekista utambulisho ukafanyika, tukakaa kwenye kibanda cha jamaa yake nikapewa soda kwanza, ilifika saa tatu usiku tukarudi nyumbani kwa jamaa nikajua ni muda wa kulala kumbe kuna kula sasa chakula cha usiku uliletwa ugali na nyama za kutosha tukala ugali ukaisha nikajua mambo yameishia hapo mara ndio inakuja sinia ya wali tukala tena na toka siku hiyo nikajua kwa nini msukuma anaonekana kua na afya sababu anajituma na anakula sana , na nikajifunza haitakiwi kwako kuwe na njaa hapana pambana ufukuze njaa maana jamaa alinieleza mji wenye njaa unakua na mikosi sababu njaa ni mbaya, kama kesho nilienda mnadani shishiyu na biashara ilikua nzuri sana .
Wasukuma nawaheshimu ni watu poa sana na kila nimuonapo msukuma nafeel ubinadamu wao.
 
Uko sahihi kabisa, wasukuma asilia ni wastaarabu, wakarimu, wema na wanyenyekevu wenye kujali udugu popote walipo, wengi tumeshitushwa na spishi fulani mpya ya wasukuma wana harufu ya ukwereni, tangu kunakucha mpaka linazama ni vijembe, masimango, kejeli nk

Jamaa hawana shida kabisa ukiona watu wa vijembe hao tilia shaka usukuma wao lazima kuna tatizo.
 
Wahaya, wazinza, wasubi, wahangaza, wanyambo, waha, wanyamwezi, wakurya, wajita, wakerewe, wakonongo, wachaga, wapare, waarabu, hao ni baadhi ya watu waliokaribishwa kanda ya ziwa hasa mwanza bila kinyongo na leo hii ukiwa mwanza ni ngumu kutambua kama wasukuma ndio wenye mji hapana hawana ubaguzi kabisa wao hupenda wageni nachomekea kidogo msukuma haowi mke mmoja haipo hiyo
 
Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa.

"Sukuma Gang hicho kitu hakipo hakuna kitu kama hicho haipo na kwanini iwepo yaani kwa sababu zipi iwepo? alafu hao ni wakinanani kuna wahuni wachache wameamua kutengeneza ka syndicate kakuchafua watu na nini lakini nataka nikuhakikishie hakuna kitu kama hicho," - amesema.

Mabula alikuwa anazungumza katika kipindi cha The Gig Agenda kinachotangazwa na STAR TV na Mtozi Aloyce Nyanda, jana Disemba 30, 2022
Wanabodi,
As days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila
Sukuma gang ni itikadi liyoasisiwa na Magufuli inayoamini katika ukatili unaohusisha matusi, utekaji, uporaji, mauaji na uonevu.
Si kweli!. The Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!.
Kwahiyo itikadi hii isihusishwe na kabila la Wasukuma. Mfano, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, ndugu Sabaya yeye ni Sukuma gang lakini siyo Msukuma. Wengine ni Polepole, Ndugai, Bashiru, Mnyeti, Happi, Kabudi, n.k.
Pia sii kweli!, bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!.
Lakini wapo Wasukuma ambao pia ni wafuasi watiifu wa itikadi hii ya sukuma gang. Sina haja ya kuwataja.
Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!
Nimeandika haya ili kuondoa dhana inayotaka kujengwa na baadhi ya watu ama kwa upotoshaji wa makusudi au kwa bahati mbaya kuwa kuwachukia wafuasi wa Sukuma gang ni kuchukia Wasukuma. Hili siyo jambo zuri na kufanya hivyo ni kupanda mbegu ya ukabila.
Hapa nakuunga mkono!.
Mm Sexless mwandishi wa uzi huu nawachukia Sukuma gang na muasisi wao ingawa nami ni Msukuma.
Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema!. Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!.

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang!. This is not fair at all!. Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!.

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma!. Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!.

P
 
Hili halikubaliki hata kidogo.... ubaguzi huu ni wakukemewa vikali.
 
Lugha zetu ni asili yetu,lazima tuzienzi,na ni muhimu unapotaka kufikisha ujumbe kwa kundi flani,sio kila mtanzania anajua kiswahili
Endelea kuabudu lugha yako ya mkoloni waheed,shubhamiti
kiswahili siyo lugha ya mkoloni, futa kauli yako!
 
Wanabodi,
As days goes by, hizi issues za hii kitu inayoitwa Sukuma Gang is escalating to the point of unbecoming!. Sukuma gang ni itikadi siyo kabila

Si kweli!. The Sukuma Gang ni a fictitious Group that doesn't exist in reality lililobiniwa na yule Kigogo wa Twitter na watu wajinga wajinga wenye akili fupi wakaamini hili kundi ni kweli lipo!. Kiukweli kabisa Sukuma Gang sio kundi la kweli, halipo popote and don't exist anywhere in reality except ndani ya vichwa vya watu waliofilisika kisiasa!.

Pia sii kweli!, bali baada ya Kigogo wa Twitter kuliasisi kundi hili fictitious, akatumia nguvu kubwa kulifanyia indoctrination kuwa hili kundi does real exist, hivyo wale watu wa Magufuli na watu wote wanaomsupport Magufuli wakawa pointed kuwa ni members wa Sukuma Gang, hata mimi ni Msukuma, na namsupport Magufuli na sio Sukuma Gang!.

Hakuna kitu kama hiki, ila kwa vile indoctrination ya existence ya uwepo wa kundi hili imefanyika na watu wenye akili fupi waliofilisika kisiasa wakaamini', kama na wewe unaamini kuwa kundi la Sukuma Gang kweli lipo and does exist in reality, ujijue ni akili fupi and muflis kisiasa kama wale muflis wengine wote wanaoamini ujinga huu!

Hapa nakuunga mkono!.

Kumchukia mtu yoyote kwasababu yoyote sio jambo jema!. Dini zinatufunza hata adui mpende!. Hivyo it's not right kumchukia mtu yoyote!.

Japo hii shana ya the existence of the Sukuma Gang ni dhana tuu, na the Sukuma Gang ni just a fictitious Group that doesn't exist in reality, lakini kufuatia indoctrination iliyofanywa na yule Kigogo wa Twitter, watu wenye akili ndogo, akili fupi na waliofilisika ki fikra, wakaamini, hivyo chuki dhidi ya Wasukuma is real!. Hili sio jambo jema!.

Kufuatia kabila la Wasukuma kuwa ndilo kabila kubwa Tanzania kuliko makabila yote, zikitokea nafasi zozote za uongozi, na watu wote wako huru kugombea, obviously Wasukuma pia lazima watakuwepo.

Kulitokea nafasi fulani za uongozi ndani chama fulani, wakajitokeza wagombea 186 kugombea nafasi 8 aa uongozi. Miongoni mwa waliojitokeza walikuwepo Wasukuma wengi tuu ila mimi nawajua kulikuwa na Wasukuma wawili ambao kama wangepitishwa wangetupatia wawakilishi wazuri the best of the best.

Ikasemekana kuwa mmoja kati ya hao Wasukuma wawili ni member wa the Sukuma Gang!. Then kwenye mchujo ikaelezwa kuwa wamepewa maelekezo hatua ya kwanza kabisa ni kuwakata Wasukuma wote waliojitokeza!. Na kweli Wasukuma woote tukakatwa eti ni Sukuma Gang!. This is not fair at all!. Taifa linakosa uwakilishi wa watu wazuri kwa ubaguzi wa kijinga kabisa!.

Na katika hili naomba na mimi nijiunge kwenye kukemea hii sumu ya ubaguzi mbaya kabisa ya kuwabagua Wasukuma kwa kisingizio cha Sukuma Gang, na naomba kutamka kama kuna Msukuma yoyote popote ameadhibiwa au kubaguliwa kwa kisingizio ni member wa the Sukuma Gang, then dhambi hiyo ya ubaguzi, itawatafuna wabaguzi hao kupitia kitu kinachoitwa karma!. Karma haina mswalie Mtume wala haijali nani ni nani!.

P
Mwasisi wa siasa za chuki hizi za ukabila na itikadi za kisiasa ni Magufuli. Magufuli hakuwahi kuficha chuki yake kwa Wachaga na kwa vile zilikuwepo propaganda za CCM kuwa Chadema ni ya wachaga basi naye akaunganisha chuki hiyo kwa Chadema. Dhambi hii ndiyo inaendelea taratibu kulitafuna Taifa,tuikatae.
 
Sukuma Gang siyo watu wa Kanda ya Ziwa bali ni wafuasi wa yule dhalim mwendazake.

Watu hao hawahusiani na kanda ya Ziwa wala kabila la Kisukuma kwani hata huyo dhalim mwenyewe hakuwa Msukuma bali alijivika usukuma ili kupata uungwaji mkono kwa vile kabila la Wasukuma lina idadi kubwa ya watu, yule alikuwa Mhutu.
kama kundi hilo halihusiani na kanda ya ziwa kwa nn liitwe sukuma gang na lisipewa jina jingine.ninavyofahamu JPm alikuwa msukuma tena wa damu.hao wanaosema hakuwa msukuma ni wahuni tu kama wengine ambao wana nia ya kumchafua.
 
Back
Top Bottom