Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Ila kuna chaga gang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang ni wale wa Mwanza,Sing'anga,Geita na Itilima tu.Siyo kanda ya ziwa yote.Hata mkibisha hadi mlie machozi,mnafahamika hadi utembeaji wenu.😂😂😂😂Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa.
"Sukuma Gang hicho kitu hakipo hakuna kitu kama hicho haipo na kwanini iwepo yaani kwa sababu zipi iwepo? alafu hao ni wakinanani kuna wahuni wachache wameamua kutengeneza ka syndicate kakuchafua watu na nini lakini nataka nikuhakikishie hakuna kitu kama hicho," - amesema.
Mabula alikuwa anazungumza katika kipindi cha The Gig Agenda kinachotangazwa na STAR TV na Mtozi Aloyce Nyanda, jana Disemba 30, 2022
Kuzungumza kilugha kwenye kundi la watu wenye kabila tofauti ni upumbavu na sio uungwana.mtu muungwana anapenda kuunganisha watu na sio kuwagawa kwa misingi ya kikabila.Lugha zetu ni asili yetu,lazima tuzienzi,na ni muhimu unapotaka kufikisha ujumbe kwa kundi flani,sio kila mtanzania anajua kiswahili
Endelea kuabudu lugha yako ya mkoloni waheed,shubhamiti
Etwege yaelekea ulitolewa usichana wako na mwanaume wa kichaga kisha akakupiga kibutiIla kuna chaga gang
Mchambuzi nguli ndugu Pascal Mayalla unakubaliana na hili ?Sukuma gang ni genge lisilo rasmi (lakini halisi) la wanasiasa wa CCM waliokuwa wanafaidika na utawala wa Magufuli kwa mwamvuli wa kikabila/kikanda(kanda ya ziwa) huku wakiwadidimiza (kwa nguvu ya dola) watu wengine wenye mlengo tofauti na wao.
Mwanzilishi wa hilo genge ni Magufuli mwenyewe, na wanasiasa wengi ikabidi wajipendekeze na hilo kundi (ikiwemo kuunga mkono juhudi) ili waweze kupona au kuneemeka kisiasa au kiuchumi.
Kifo cha Magufuli kiliua ndoto nyingi za wanasiasa waliowekeza nguvu zao kwa kutegemea hilo kundi.
Kwa sasa sio ajabu kuona wanasiasa husika wakilikana hilo genge, kwa kuwa kuendelea kulikumbatia hilo genge ni sawa na kukumbatia jiko lenye moto na kudumbukia nalo kwenye mtaro wenye kutiririsha Petrol.
Siyo kweliSukuma Gang siyo watu wa Kanda ya Ziwa bali ni wafuasi wa yule dhalim mwendazake.
Watu hao hawahusiani na kanda ya Ziwa wala kabila la Kisukuma kwani hata huyo dhalim mwenyewe hakuwa Msukuma bali alijivika usukuma ili kupata uungwaji mkono kwa vile kabila la Wasukuma lina idadi kubwa ya watu, yule alikuwa Mhutu.
Acha chuki unaweza kufa siku siyo zako Mkuu.Kweli kabisa, wasukuma anzia akina Paul Bomani, sio watu wa makundi, ni watu humble sana, pamoja na yule nduli kujaribu kuwatumia kimaslahi yake, hakufanikiwa.
Nchi Ina kumbukumbu ya wanasiasa wasukuma ambao ni humble sana, Pius N' gwandu viongozi kama Jaji Nyalali, ni ukanda ambao tangu nchi imepata Uhuru, umetulia sana kisiasa, na wasikivu na wanapenda mambo mazuri.
Ni wachache tu, mfano Luhaga Mpina, Rais JPM ambaye hupitia mafaili ya afya ya Kila mteule wake, alitutangazia rasmi kwamba Mpina ana ugonjwa wa kichaa, na kwamba huwa wanakutana mirembe kwa matibabu. Na ninamshauri SSH, ampumzishe 2025 ili akapate matibabu
Kwenye fani ya uandishi ndio nguli, lakini kwenye uchambuzi ni mtu wa kawaida tuu.Mchambuzi nguli ndugu Pascal Mayalla unakubaliana na hili ?
Duh na wewe Mkuu hukupenda mwamba!Waitwe "wafiwa"...
PointMoja ya sababu wasukuma wanataniwa Sana na karibu kila kabila ni sababu wako friendly na kind Kwa kila mtu....
Wasukuma walikuwa na sifa ya ukarimu .....na roho nzuri ....
Baada ya wakimbizi Wengi kuingia kanda ya ziwa na wale wasiotaka kujulikana sio watanzania kujiita wasukuma ndo tumepata aina mpya ya wasukuma wanao preach hate ,ukabila na roho mbaya
Duh na wewe Mkuu hukupenda mwamba!
Watawajuaje wakati watu walikuwa wengi?Ulitarajia akiri hadharani kuwa sukuma gang ipo? Hujui kuwa sukuma gang imeshika kwenye makali na awamu ya 6 imeshika mpini?
Hakuna anayeweza kuthubutu kupanua mdomo na kukiri uwepo wa kundi hili.
Ushahidi kuwa lipo; angalia clip ya uzinduzi wa bwawa la Nyerere, kila likitajwa jina la Mungu wao walikuwa wnashangilia Sana". Clip inaendelea kuangaliwa vizuri. Na kila aliyekuwa wnashangilia 2025 jina lake litakatwa.
Chuki iko wapi hapo mkuuAcha chuki unaweza kufa siku siyo zako Mkuu.
Duh!Like shetani lililozikwa chatto ndio lilitaka kutuletea ukabila kwa maslahi take binafsi.
Naamin hata wasukuma makini hawakulipenda kabisa...
Dieth to dictator, death to mkabila, death to satanic blended brain
Kumbe Kiswahili ni Lugha ya mkoloniLugha zetu ni asili yetu,lazima tuzienzi,na ni muhimu unapotaka kufikisha ujumbe kwa kundi flani,sio kila mtanzania anajua kiswahili
Endelea kuabudu lugha yako ya mkoloni waheed,shubhamiti
Mkuu unataka kusema wale watu waliokuwa wanashangilia siku ya sherehe pale Nyerere H E P walikuwa wasukuma?.Sukuma gang ni genge lisilo rasmi (lakini halisi) la wanasiasa wa CCM waliokuwa wanafaidika na utawala wa Magufuli kwa mwamvuli wa kikabila/kikanda(kanda ya ziwa) huku wakiwadidimiza (kwa nguvu ya dola) watu wengine wenye mlengo tofauti na wao.
Mwanzilishi wa hilo genge ni Magufuli mwenyewe, na wanasiasa wengi ikabidi wajipendekeze na hilo kundi (ikiwemo kuunga mkono juhudi) ili waweze kupona au kuneemeka kisiasa au kiuchumi.
Kifo cha Magufuli kiliua ndoto nyingi za wanasiasa waliowekeza nguvu zao kwa kutegemea hilo kundi.
Kwa sasa sio ajabu kuona wanasiasa husika wakilikana hilo genge, kwa kuwa kuendelea kulikumbatia hilo genge ni sawa na kukumbatia jiko lenye moto na kudumbukia nalo kwenye mtaro wenye kutiririsha Petrol.
Ndiyo alikuwa rais sasa.Magufuli ni Mhutu, siyo Msukuma, katika kitu ambacho idara ya usalama wa Taifa wamefeli ni kuacha mtu ambaye siyo Mtanzania na mwenye file milembe kuwa Rais wa nchi.
Leo ndio nimeelewa kuwa, upole na roho nzuri za wasukuma kumbe walikaribisha na mbegu zisizo nzuri duh.Mimi nakubaliana na hoja kuwa wasukuma original ni watu wasio na ukabila wala roho mbaya
Sukuma gang imeanzishwa na mafisadi, wakaskazini na washenzi wote waliokua wakikwapua pesa za masikini nyakati za dingiiMbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa.
"Sukuma Gang hicho kitu hakipo hakuna kitu kama hicho haipo na kwanini iwepo yaani kwa sababu zipi iwepo? alafu hao ni wakinanani kuna wahuni wachache wameamua kutengeneza ka syndicate kakuchafua watu na nini lakini nataka nikuhakikishie hakuna kitu kama hicho," - amesema.
Mabula alikuwa anazungumza katika kipindi cha The Gig Agenda kinachotangazwa na STAR TV na Mtozi Aloyce Nyanda, jana Disemba 30, 2022
Weka ukweli unaoujua weweSiyo kweli