Sukuma Gang tupo, tuueni sasa.Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa.
"Sukuma Gang hicho kitu hakipo hakuna kitu kama hicho haipo na kwanini iwepo yaani kwa sababu zipi iwepo? alafu hao ni wakinanani kuna wahuni wachache wameamua kutengeneza ka syndicate kakuchafua watu na nini lakini nataka nikuhakikishie hakuna kitu kama hicho," - amesema.
Mabula alikuwa anazungumza katika kipindi cha The Gig Agenda kinachotangazwa na STAR TV na Mtozi Aloyce Nyanda, jana Disemba 30, 2022
Mkuu hao wazee kina Paul/ Mark Bomani, Jaji Nyalali all the way to Andrew Shija ni watu ambao licha ya kuwa na base kubwa sana ya kikabila, walipuuza siasa za ukabila.Kweli kabisa, wasukuma anzia akina Paul Bomani, sio watu wa makundi, ni watu humble sana, pamoja na yule nduli kujaribu kuwatumia kimaslahi yake, hakufanikiwa.
Nchi Ina kumbukumbu ya wanasiasa wasukuma ambao ni humble sana, Pius N' gwandu viongozi kama Jaji Nyalali, ni ukanda ambao tangu nchi imepata Uhuru, umetulia sana kisiasa, na wasikivu na wanapenda mambo mazuri.
Ni wachache tu, mfano Luhaga Mpina, Rais JPM ambaye hupitia mafaili ya afya ya Kila mteule wake, alitutangazia rasmi kwamba Mpina ana ugonjwa wa kichaa, na kwamba huwa wanakutana mirembe kwa matibabu. Na ninamshauri SSH, ampumzishe 2025 ili akapate matibabu
Kwanza hata kuliita kundi la watu wenye nia zao za kisiasa "Sukuma Gang" ni kutukosea heshima Wasukuma.
Wasukuma wengi hatukubaliani na siasa za ukabila. Wengine hata huyo Magufuli hatukumkubali kabisa.
Sasa kuunganisha jina la kabila kubwa na wanasiasa wachache ni kutuchafua Wasukuma wote, ambao kati yetu kuna wengi hatukubaliani sio tu na siasa za hawa watu, baki oia na siasa za ukabila kwa ujumla.
Acheni kutumia jina la Sukuma kwenye siasa.
Hao watu watafutieni jina jingine.
Wewe ulitaka Mama aongee kilugha kipi? Ahahahahah!!!..siku hizi hakuna tena hotuba KILUGHA ktk shughuli za kitaifa.
..nakumbuka ktk sherehe za uhuru mwenyekiti wa chama fulani cha siasa alizungumza KILUGHA.
..Na hakukuwa na MKALIMANI.
Lugha zetu ni asili yetu,lazima tuzienzi,na ni muhimu unapotaka kufikisha ujumbe kwa kundi flani,sio kila mtanzania anajua kiswahili..siku hizi hakuna tena hotuba KILUGHA ktk shughuli za kitaifa.
..nakumbuka ktk sherehe za uhuru mwenyekiti wa chama fulani cha siasa alizungumza KILUGHA.
..Na hakukuwa na MKALIMANI.
Naunga mkono hoja, hata mimi ni Msukuma lakini sikuwahi kumshabikia yule Mhutu na siasa zake za kuwagawa Watanzania. Tuwaite Bazilankende Gang, na wale wapinzani wao wabaki kuwa Msoga Gang.Kwanza hata kuliita kundi la watu wenye nia zao za kisiasa "Sukuma Gang" ni kutukosea heshima Wasukuma.
Wasukuma wengi hatukubaliani na siasa za ukabila. Wengine hata huyo Magufuli hatukumkubali kabisa.
Sasa kuunganisha jina la kabila kubwa na wanasiasa wachache ni kutuchafua Wasukuma wote, ambao kati yetu kuna wengi hatukubaliani sio tu na siasa za hawa watu, bali pia na siasa za ukabila kwa ujumla.
Acheni kutumia jina la Sukuma kwenye siasa.
Hao watu watafutieni jina jingine.
Ulitarajia akiri hadharani kuwa sukuma gang ipo? Hujui kuwa sukuma gang imeshika kwenye makali na awamu ya 6 imeshika mpini?Mbunge wa Nyamagana, Stanslaus Mabula ameweka wazi kuwa hakuna kundi linaloitwa Sukuma Gang bali ni wahuni wachache wameamua kutengeneza syndicate ya kuchafua watu wa Kanda ya Ziwa.
Lugha zetu ni asili yetu,lazima tuzienzi,na ni muhimu unapotaka kufikisha ujumbe kwa kundi flani,sio kila mtanzania anajua kiswahili
Endelea kuabudu lugha yako ya mkoloni waheed,shubhamiti
Jiwe hakuwa msukuma,weka rekodi sawa mkuuKweli kabisa, wasukuma anzia akina Paul Bomani, sio watu wa makundi, ni watu humble sana, pamoja na yule nduli kujaribu kuwatumia kimaslahi yake, hakufanikiwa.
Nchi Ina kumbukumbu ya wanasiasa wasukuma ambao ni humble sana, Pius N' gwandu viongozi kama Jaji Nyalali, ni ukanda ambao tangu nchi imepata Uhuru, umetulia sana kisiasa, na wasikivu na wanapenda mambo mazuri.
Ni wachache tu, mfano Luhaga Mpina, Rais JPM ambaye hupitia mafaili ya afya ya Kila mteule wake, alitutangazia rasmi kwamba Mpina ana ugonjwa wa kichaa, na kwamba huwa wanakutana mirembe kwa matibabu. Na ninamshauri SSH, ampumzishe 2025 ili akapate matibabu
Lugha zetu ni asili yetu,lazima tuzienzi,na ni muhimu unapotaka kufikisha ujumbe kwa kundi flani,sio kila mtanzania anajua kiswahili
Endelea kuabudu lugha yako ya mkoloni waheed,shubhamiti
Magufuli ni Mhutu, siyo Msukuma, katika kitu ambacho idara ya usalama wa Taifa wamefeli ni kuacha mtu ambaye siyo Mtanzania na mwenye file milembe kuwa Rais wa nchi.Kwanza hata kuliita kundi la watu wenye nia zao za kisiasa "Sukuma Gang" ni kutukosea heshima Wasukuma.