Sukuma Gang imeanzishwa na wahuni, haipo Kanda ya Ziwa

Sukuma gang ni wale wa Mwanza,Sing'anga,Geita na Itilima tu.Siyo kanda ya ziwa yote.Hata mkibisha hadi mlie machozi,mnafahamika hadi utembeaji wenu.😂😂😂😂
 
Lugha zetu ni asili yetu,lazima tuzienzi,na ni muhimu unapotaka kufikisha ujumbe kwa kundi flani,sio kila mtanzania anajua kiswahili
Endelea kuabudu lugha yako ya mkoloni waheed,shubhamiti
Kuzungumza kilugha kwenye kundi la watu wenye kabila tofauti ni upumbavu na sio uungwana.mtu muungwana anapenda kuunganisha watu na sio kuwagawa kwa misingi ya kikabila.

Ikitokea kila mtu kuzungumza lugha yake nchi hii itatulia?
Kuendekeza ukabila ni dalili ya umasikini
 
Mchambuzi nguli ndugu Pascal Mayalla unakubaliana na hili ?
 
Siyo kweli
 
Acha chuki unaweza kufa siku siyo zako Mkuu.
 
Point
 
Watawajuaje wakati watu walikuwa wengi?
 
Like shetani lililozikwa chatto ndio lilitaka kutuletea ukabila kwa maslahi take binafsi.
Naamin hata wasukuma makini hawakulipenda kabisa...
Dieth to dictator, death to mkabila, death to satanic blended brain
Duh!
Hata kama ulitumbuliwa lakini siyo kwa hasira hizo.
 
Lugha zetu ni asili yetu,lazima tuzienzi,na ni muhimu unapotaka kufikisha ujumbe kwa kundi flani,sio kila mtanzania anajua kiswahili
Endelea kuabudu lugha yako ya mkoloni waheed,shubhamiti
Kumbe Kiswahili ni Lugha ya mkoloni
 
Mkuu unataka kusema wale watu waliokuwa wanashangilia siku ya sherehe pale Nyerere H E P walikuwa wasukuma?.
Magufuli atabaki vinywani mwa watu milele.
Sema mnajutahidi kushindana naye pamoja na kwamba ameshakufa ila ngoma bado ngumu.
 
Magufuli ni Mhutu, siyo Msukuma, katika kitu ambacho idara ya usalama wa Taifa wamefeli ni kuacha mtu ambaye siyo Mtanzania na mwenye file milembe kuwa Rais wa nchi.
Ndiyo alikuwa rais sasa.
Na kaburi lake linalindwa mkuu vipi kwako panalindwa?
 
Mimi nakubaliana na hoja kuwa wasukuma original ni watu wasio na ukabila wala roho mbaya
Leo ndio nimeelewa kuwa, upole na roho nzuri za wasukuma kumbe walikaribisha na mbegu zisizo nzuri duh.
 
Sukuma gang imeanzishwa na mafisadi, wakaskazini na washenzi wote waliokua wakikwapua pesa za masikini nyakati za dingii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…