Sukuma Gang is Real: Waanza kumtisha Rais Samia, wamtumia Msukuma kudai mkoa wa Chato kinguvu

Unafahamu jiografia ya mkoa wa morogoro,umewahi kuwasikia wanadai mkoa
 
Nimetolea mfano wa nchi nilizofika mkuu
 
Kweli wasukuma wana mfumo dume, lakini kuhusu suala la ikulu ya Chato kuwa doro naona wawe wapole tu, hiyo lazima ingetokea, kwasasa ikulu ya Makunduchi [kama ipo] ndio inatakiwa kuchangamka.

Muhimu kwao kwa sasa waiombe serikali ibadilishe matumizi ya hilo jengo, waangalie litawafaa kwa matumizi yapi kisha wafanye hivyo kama serikali itakubali ombi lao, kuliko kuendelea kununa bila sababu.

Kuhusu msukuma yule chawa namba moja siamini kama anaweza kutumiwa kwa kazi hiyo, labda kama ungetupa mfano wa tukio/matukio yanayoonesha kutumika kwake ingependeza.
 
Unafahamu jiografia ya mkoa wa morogoro,umewahi kuwasikia wanadai mkoa
nadhani utakuwa hufuatilii mambo waliishadai muda mrefu sana ila hawasikilizwi.pia morogoro,tabora ni mikoa mikubwa mno nayo igawanywe.
 
Tafadhali Acha kuvua watu nguo! na kuwaacha uchi.
 
nadhani utakuwa hufuatilii mambo waliishadai muda mrefu sana ila hawasikilizwi.pia morogoro,tabora ni mikoa mikubwa mno nayo igawanywe.
Kama morogoro walipuuzwa chato nao wapuuzwe tu,huduma zipelekwe wilayani,sio kila Rais na PM akiwa madarakani anajitengenezea mkoa,alianza Sumaye na Manyara ,akaja Pinda na Katavi huu ni ujinga
 
Chato haiwezi kuwa mkoa by nature, kwa udogo wake labda lilazimishwe tu, ipo mikoa mikubwa kweli inayostahili kukatwa na kutengeneza mikoa mingine lakini si Chato ambayo italazimika kuiba maeneo ya mikoa mingine,
Wishes 5th inferno rest.
 
kuna muimili ulio jichimbia kuliko yote, sina mbavu
 
Lake zone inawatoa roho sana.

2025 is loading..........
 

Bora ungemtaja mtu mwingine, huyo Msukuma ndio kidedea wa kusema hakuna mkoa ambao upo tayari kutoa wilaya zake kuipa Chato anataka Geita ibaki kama ilivyo.

Halafu Magufuli hata yeye alipewa mapendekezo ya Chato kuwa mkoa na akuwahi ku entertain hizo fikra.

Mtu ambae alitoa ahadi ya kulifanyia kazi swala la Chato kuwa mkoa hadharani kwa mara ya kwanza ni ‘Bi Tozo’. Ila Magufuli mpaka anazikwa hakuacha hiyo kazi wala kutoa maagizo TAMISEMI ya kuangalia Chato kuwa mkoa.

Yeye mwenyewe Magufuli alipambana kuitoa Chato kutoka Kagera ili iwe sehemu ya wasukuma; iweje baadae atake wilaya ya wahaya iwe sehemu ya wasukuma.

Magufuli hakuwai kuutaka mkoa wa Chato, ila kuna viongozi wengi ndani ya Chato wanataka iwe mkoa ata yeye alipewa hayo maombi, kama ilivyo sasa.

Na Kasheku ni anti Magufuli hatari humjui tu, siyo yeye tu na vigogo wengi wa kutokea huko hakina Diallo na mafisadi mengine aliyewapa uwaziri.

Sukuma gang ni nadharia tu kutoka kwa Kigogo Twitter, lakini kiuhalisia ilo kundi halipo.

Sema kuna watanzania kutoka pande zote za nchi waliomuelewa hayati na kazi yake.
 
Kasheku ni anti jpm ila ni mnafiki anacheza na upepo unavyoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…