Sukuma Gang is Real: Waanza kumtisha Rais Samia, wamtumia Msukuma kudai mkoa wa Chato kinguvu

Chato haina ardhi kwa hiyo wilaya iko angani?Russia na china huwezi kuzifananisha na Tanzania, hakuna uwiano. Kwanini usitolee mfano wa nchi za afrika mashariki na kati?kwa hali yoyote ile mm naunga mkono chato kuwa mkoa kwa maslahi mapana ya wananchi wanafuata huduma mbali(makao makuu ya mikoa).
Huduma zipi hizo zinafuatwa mbali?? Kutoka Chato mpaka Geita ni kilomita ngapi??
 
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.

Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.

Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.

Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure

Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.

Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.

Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.

Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.

China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.

Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Mwandishi ni mchonganishi,

Ingekuwa zamani utawala wa Kirumi,

Angetakiwa afungwe JIWE kubwa la kusagia na atupwe baharini.
 
We endelea tu. Pika hicho unachopika. Kanda ya ziwa ni kitu kimoja na iko imara sana. Tuendelee kusubiri 2025.
 
Sio kweli kanda ya ziwa hawampendi maa na hawaitaki chadema kwa sasa,wamesusa kabisa mambo ya siasa
 
Hakuna kitu wala kundi unaloaminisha watu.

Acheni mara moja kuleta mgawanyiko ktk Nchi.

Nchi ni Moja Tanzania.

Kudai Mkoa haijawahi kutafsiriwa kama kumtisha mkuu wa Nchi.
Kundi lipo ila limekaa kiitikadi zaidi,halina ofisi wala viongozi rasmi lakini lipo
 
This thread it's not related with reality.

Andika nyuz zenye mantiki kwa taifa lako.

May be unge andika nyuzi zinazo tetea masilahi ya nchi na rasilimali zake.
Hizo gangs mnazikuza wenyewe lkn hazipo ivo mzaniavyo.
 
Kundi lipo ila limekaa kiitikadi zaidi,halina ofisi wala viongozi rasmi lakini lipo
Hakuna kitu kama hicho,

Tuache siasa za kuwagawa wananchi,

Tuungane pamoja kuijenga Nchi moja,

Vyama au uchu wa madaraka visitumike kutuletea matabaka ktk Nchi.
 
Wasukuma wenye mfumo dume ila wana historia ya kuwa na wabunge wanamke walioshinda mbele ya wanaume!

Hizi ni chuki zako tu kwa wasukuma, huyo unayedai hapendwi ndiye atavuna kura nyingi usukumani kuliko huko kwenye mfumo jike (sijui ni wapi)

Mada za chuki na ufitinishi kama hizi sijui kwa nini zinaachwa tu na wenye jukwaa lao.
 
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.

Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.

Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.

Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure

Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.

Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.

Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.

Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.

China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.

Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Kumbe mwandishi ni chawa anayekaa kwenye nywele chafu!
 
Hao wajomba wa mwenadazake waliokuwa wanavaa suti zimepwaya kama za mitimba wanaweza kumtisha Samia ???!!!!!’
 
Wale wanyama wa Arusha waliotekwa wakapelekwa Chato bado wapo au wametoroka au wamekufa tujulisheni.
 
Back
Top Bottom