Sukuma Gang is Real: Waanza kumtisha Rais Samia, wamtumia Msukuma kudai mkoa wa Chato kinguvu

.Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.
Kiukweli humu JF pia kuna watu wana midomo balaa!, sisi wazee wa busara kuna baadhi ya vitu tunavizungumza kwa tafsida,
Mambo ya Chato yalianza kitambo!, kwanza barabara kuu iliyokuwa ipite Biharamulo, ikachepushwa ikapita Chato!, ikaja uwanja wa ndege uliokuwa ujengwe Omukajunguti, ukahamishiwa Chato!, watu wa kauli umba humu wakatoa angalizo https://www.jamiiforums.com/threads...au-yamoussoukro-watalii-watamiminika.1351238/ ndipo yakafuata hayo mahoteli, reli ya SGR nayo imechepushiwa Chato na kipande cha Chato bajeti iliishatengwa na mkandarasi aliisha patikana huku the main rail ya SGR ya Mwanza bado!.
Kiukweli ukiondoa kumcha Mungu, na uhai, kitu muhimu kabisa cha tatu duniani ni haki!.
P
 
Kabisa mkuu haya mengine ndio nimeyajua leo kumbe
 
Umeongea point. Vitu vilikuwa vinafanywa ilimradi Tu. Kama angekuwepo mpaka sasa Chato ingekuwa mkoa tayari.
 
Kiukweli humu JF pia kuna watu wana midomo balaa!, sisi wazee wa busara kuna baadhi ya vitu tunavizungumza kwa tafsida,
Mambo ya Chato yalianza kitambo!, kwanza barabara kuu iliyokuwa ipite Biharamulo, ikachepushwa ikapita Chato!, ikaja uwanja wa ndege uliokuwa ujengwe Omukajunguti, ukahamishiwa Chato!, watu wa kauli umba humu wakatoa angalizo https://www.jamiiforums.com/threads...au-yamoussoukro-watalii-watamiminika.1351238/ ndipo yakafuata hayo mahoteli, reli ya SGR nayo imechepushiwa Chato na kipande cha Chato bajeti iliishatengwa na mkandarasi aliisha patikana huku the main rail ya SGR ya Mwanza bado!.
Kiukweli ukiondoa kumcha Mungu, na uhai, kitu muhimu kabisa cha tatu duniani ni haki!.
P

Mzee mwenzangu leo umetema nyongo [emoji23]
 
Pascal fungua kanisa we ni nabii una jicho la tatu unaona visivyoonekana
Asante sana Mkuu mdukuzi, JPM tulianza naye toka 2014 https://www.jamiiforums.com/threads...ccm-2015-could-be-john-pombe-magufuli.707165/
Kubwa kuliko ni game ya 2025, wengi wanadhani ni Mama, sauti zimeishatoka toka mwaka jana kuwa https://www.jamiiforums.com/threads...namume-kisha-2030-ndipo-aje-mwanamke.1980867/
Kinachofanyika nisifungue kanisa ni bado sina uhakika hizi sauti kama ni za kwake YEYE au ni yeye!.

Ni YEYE fungua kanisa kondoo wapo wengi
 
Kweli wasukuma wana mfumo dume, lakini kuhusu suala la ikulu ya Chato kuwa doro naona wawe wapole tu, hiyo lazima ingetokea, kwasasa ikulu ya Makunduchi [kama ipo] ndio inatakiwa kuchangamka.

Muhimu kwao kwa sasa waiombe serikali ibadilishe matumizi ya hilo jengo, waangalie litawafaa kwa matumizi yapi kisha wafanye hivyo kama serikali itakubali ombi lao, kuliko kuendelea kununa bila sababu.

Kuhusu msukuma yule chawa namba moja siamini kama anaweza kutumiwa kwa kazi hiyo, labda kama ungetupa mfano wa tukio/matukio yanayoonesha kutumika kwake ingependeza.
Musukuma ni mnafiki haijawahi kutokea.
Hivi Chato si kuna National Park, watalii hawaendi?
 
Sukuma gang ni kundi fulani la majitu mapuuzi yaliyokata tamaa ya maisha yaliyojikusanya pamoja kama fisi wa porini wenye njaa kali wanaovizia binadamu wapite mikono yao idondoke wale. Wataishia kubaki hivyo hivyo hadi Yesu anarudi hawapati manufaa yoyote kwa chuki zao za wazi dhidi ya Mh Rais Samia. Yaani hii mijitu inakuwa na hasira na Samia utadhani alijiweka kileleni mwenyewe wakati katiba ya nchi ndiyo imemuweka pale alipo? Ione, hiyooooo, michawiiiiiiiiiii!!!
 
Kama morogoro walipuuzwa chato nao wapuuzwe tu,huduma zipelekwe wilayani,sio kila Rais na PM akiwa madarakani anajitengenezea mkoa,alianza Sumaye na Manyara ,akaja Pinda na Katavi huu ni ujinga
Anna Makinda-Njombe.
 
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.

Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.

Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.

Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure

Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.

Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.

Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.

Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.

China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.

Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Chato ni kijiji kilichobahatika au kulazimishwa kuwa mji. Hakuna namna yoyote ya kutengeneza mkoa pale, mkoa unaweza kujitengeneza wenyewe kwa wakazi kuongezeka kwa kasi kubwa kama ilivyo Bwanga,Katolo, Kahama, na Nyakanazi.
 
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.

Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.

Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.

Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure

Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.

Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.

Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.

Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.

China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.

Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.

Wamtishe kwa lipi? Kwani wasukuma wote wametoka Chato. Tayari kuna mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Geita! kuna umuhimu gani wa kuwa na mkoa wa Chato?
 
Kama morogoro walipuuzwa chato nao wapuuzwe tu,huduma zipelekwe wilayani,sio kila Rais na PM akiwa madarakani anajitengenezea mkoa,alianza Sumaye na Manyara ,akaja Pinda na Katavi huu ni ujinga
Hii ni nchi ya kipuuzi sana. Kila siku wanaibuka na ujinga unaoliingiza taifa hasara kubwa kwa manufaa ya machawa na wachumiatumbo wachache. Tazama jinsi Mwendazake alipolazimisha kuhamishia makao makuu Dodoma na kuipelekea nchi kukopa mapesa mengi yaliyooingiza kwenye madeni sugu yenye riba ya kutisha. Ovyo sana.
 
Kibibi mwafu Malikia Elizabeth amezikwa, udhalimu wake ulifikia mwisho, haikuwa bahati mbaya, Mungu alimtoa kwa udhalimu alioufanya hapa Duniani.
Hakuna ufalme ulioweza kufanya Mauaji, Ubakaji, Utesaji, Utumwa kwa Binadamu mwingine zaidi ya Ufalme wake, Baba yake, na sasa Mwanae.
Mfalme wa Uingereza na wanaomsujudu, wapo kila kona ya Dunia na ndio kila kukicha wanalazimisha tufuate maadili yao, tabia zao, nyendo zao n.k n.k Mishetani mikubwa haya.

Raisi we endelea kufungua masikio kwa hawa. Anguko lako litaletwa na hawa visujudu vya udhalimu.
 
Kweli wasukuma wana mfumo dume, lakini kuhusu suala la ikulu ya Chato kuwa doro naona wawe wapole tu, hiyo lazima ingetokea, kwasasa ikulu ya Makunduchi [kama ipo] ndio inatakiwa kuchangamka.

Muhimu kwao kwa sasa waiombe serikali ibadilishe matumizi ya hilo jengo, waangalie litawafaa kwa matumizi yapi kisha wafanye hivyo kama serikali itakubali ombi lao, kuliko kuendelea kununa bila sababu.

Kuhusu msukuma yule chawa namba moja siamini kama anaweza kutumiwa kwa kazi hiyo, labda kama ungetupa mfano wa tukio/matukio yanayoonesha kutumika kwake ingependeza.
Na kile kiwanja cha ndege cha kimataifa alichjenga mwendazake kule Chato ambako sasa wanatua popo nashauri uwanja ule wappewe wakulima wa kanda ya ziwa kwa ajili ya kuanikia mazao yao yasioze, hasa kipindi hiki cha mvua.
 
Back
Top Bottom