Sukuma Gang is Real: Waanza kumtisha Rais Samia, wamtumia Msukuma kudai mkoa wa Chato kinguvu

Kweli wasukuma wana mfumo dume, lakini kuhusu suala la ikulu ya Chato kuwa doro naona wawe wapole tu, hiyo lazima ingetokea, kwasasa ikulu ya Makunduchi [kama ipo] ndio inatakiwa kuchangamka.

Muhimu kwao kwa sasa waiombe serikali ibadilishe matumizi ya hilo jengo, waangalie litawafaa kwa matumizi yapi kisha wafanye hivyo kama serikali itakubali ombi lao, kuliko kuendelea kununa bila sababu.

Kuhusu msukuma yule chawa namba moja siamini kama anaweza kutumiwa kwa kazi hiyo, labda kama ungetupa mfano wa tukio/matukio yanayoonesha kutumika kwake ingependeza.
Mfumo jike ndo unafaa?
 
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.

Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.

Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.

Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure

Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.

Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.

Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.

Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.

China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.

Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Hivi hq ya wasukuma ni chato?
 
,waache nong

Hakuna mtu wa kumtisha Rais ndugu yangu. Alafu issue ya chato kuwa mkoa sidhani kama ni concern ya kila mtanzania serikali inachofanya ni kupeleka mahitaji muhimu kwa watanzania na hao ndio watampa kura 2025 sio Sukuma Gang
 
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.

Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.

Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.

Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure

Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.

Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.

Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.

Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.

China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.

Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Aliyeikosea sana nchi hii ni JK, kumwendekeza Magufuli. Alifanya makosa makubwa sana kuunda mkoa wa Geita. Geita iliundwa kwa kuumega mkoa wa Kagera, leo wanataka kuunda mkoa wa Chato kwa kuumega tena mkoa wa Kagera. Hii maana yake nini, cheka na wajinga washamba utavuna usichotegemea. Kuna mikoa inatakiwa imegwe kwasababu ina sifa ila serikali inahangaika na washamba. Mi siamini km kuna mtu au group linaweza kumtisha rais wa nchi hii, siamini.
 
Kwani kuna shida gani chato ikiwa mkoa? Mbona mnapenda kukuza mambo kijinga yaonekane yanamaana sana? Mnaacha kuoambania mindege inayotua huko Loliondo mnapambana Chato usiwe mkoa!
we kweli dondocha. Tumia akili badala ya makalio
 
Hili kundi sio la kufikirika lipo na litamtesa sana mama Samia.

Nipo kanda ya Ziwa kiukweli mama yangu Samia huku watu hawakupendi kwa sababu mbili.

Watu wa huku wana mfumo dume hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais.

Pili ni wivu tu na roho mbaya,wanaona kama wewe unafaidi matunda ya mwenazake bure

Hawaamini kama utaendeleza miradi ya mwendazake aliyoianzisha kanda ya ziwa.

Kuna mikoa kama Geita hususan wilaya ya Chato imerudi nyuma kimaendeleo,enzi za mwendazake ikulu ilihamia Chato,mzunguko wa hela ukawa mkubwa,sasa hotel za Chato ni makazi ya popo, mji umepooza dorooo.

Sasa wameamua kumtikisa Rais wetu mpendwa mama Samia kwa kudai mkoa wa Chato,katika hili wanamtumia Dk Msukuma kumtisha mama.

Chato haina ardhi wala hadhi vya kuwa mkoa, huo ndio ukweli,mama simamia haki.nadhani ifike muda sasa mambo ya kutengeneza mikoa mipya ywfike tamati.

China USA na Russia ni kubwa ila hawana ujinga huu,kikubwa serikali ipeleke huduma bora kwa wananchi basi kwa kuzisogeza karibu.

Mwisho Sukuma Gang waambiwe kuwa mama yetu Samia yuko pale kitini kwa sababu ya katiba,na waambiwe kuwa Hayati Magufuli aliitwa na Bwana Mbinguni kwa mapenzi yake,
Tutulie tujenge nchi
,waache nongwa.
Watakwama tu
 
uzi uliojaa uongo mtupu.
Rais ndo mwenyekiti wa chama ni kama mungu mtu vile mbunge gani wa CCM amtikise Rais!
Kigwa anakwambia hivi"Rais ni mwenyekiti wa chama hakosolewi",huyo ndo mbunge sasa anamuona mwenyekiti kama mungu mtu.
 
Back
Top Bottom