Sukuma Gang is Real: Waanza kumtisha Rais Samia, wamtumia Msukuma kudai mkoa wa Chato kinguvu

Kwani kuna shida gani chato ikiwa mkoa? Mbona mnapenda kukuza mambo kijinga yaonekane yanamaana sana? Mnaacha kuoambania mindege inayotua huko Loliondo mnapambana Chato usiwe mkoa!
Kutaka Chato kuwa mkoa ni mawazo ya kijima
 
Kwanini usiombe huduma kusogezwa kama ziko mbali badala ya kuomba upumbavu?
 
Mbona mama aliagiza wahusika watazame vigezo kama chato inakidhi kuwa mkoa.sasa kama vigezo havikupatikana kosa la mama liko wapi?Na wanamtisha nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…