Sukuma Gang sio watu wa kupuuzwa, itafutwe namna ya kuifuta hii itikadi ili kuleta Umoja wa Kitaifa

Mimi naomba JF iweke vigezo vya kuchangia mada, sasa akili ya kitoto kama hii inachangia mada kubwa kama hii inashangaza, any away kama unaona akili yako ina uwezo mdogo kuliko mada ni bora ukakaa kimya.
Ni wakora tu na walozi, hakuna itikadi ni mamburura tu yanayoweka matumbo yao mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: RNA
Habari JF ,Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli .

Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo ,Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa .

Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama ,Kwa kifupi Ni Dubwana kubwa .Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu .

Hivyo basi kama Ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK,kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa .

Umeshaawahi hata siku mmoja kumsikia mama akikemea haya mambo .kwa upande mwingine inaonyesha mama anabariki haya mambo
 
  • Thanks
Reactions: RNA
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Acheni kuwaonea hao watu.....hakuna kitu kinachoitwa SUKUMA GANG .....wala hakuna kitu kinachoitwa MSOGA GANG.....

Ni uzushi tu wa kuwashambulia wengine na kuwapaka matope kwa sababu za kisiasa.....

CCM ni moja.....hizo rabsha za makundi ya kisiasa zimekuwepo siku zote ila hazijafikia kiwango cha UKABILA NA UKANDA kama hivi inavyotengenezewa PICHA......

Taifa letu ni moja....
Sisi ni wamoja......

UKABILA+UKANDA+UDINI=USHETANI ULIOPITILIZA

Mkuu una uhakika hao Sukuma Gang wako?!!!

Msoga gang je?!!

Ni akina nani mkuu wangu?
Wewe unaishi nchi gani ?
 
Hahahahahaha Error 404 ila ni ukweli bosi maana falsafa ya Dkt Magufuli itaishi mimi na wewe tutazeeka na kufa ila vizazi vyetu vitakuja kuihubiri na hatimaye kuiishi. Najua sasa hivi sera ni kukopa nje na kuachia mianya ya ukusanyaji mapato ya ndani na wizi, madawa etc.
Falsafa itakayosimama ni ya Nyerere tu, mnajidanganya nafsi zenu na hilo Lirundi lenu.
 
Ngo Ngo Ngo
Taarifa.

Hakuna Genge lelote lile Tanzania linaloitwa "Sukuma Gang"

Kuna Kabila la Wasukuma ambalo ni kati ya Makabila makubwa sana Afrika kama sio Duniani. Asilimia kubwa ya Kabila na Jamii ya Msukuma imeelimika, ni jasiri, ni ya wajasiriamali, ni ya wafanyabishara, ni ya wakulima, ni ya wafugaji na wavuvi.

CHADEMA under the umbrela of the Far right movements and imperialistic political and economic partners of rhe West, has embarked on a Genocidal, dehumanising, and bad mouthing of this Tribe since they lost Elections in 2020 to the Late President J.Pombe Magufuli who was A Sukuma. Ever since his death, CHADEMA and its partners have spearheaded a hate campaign against the WASUKUMA tribe by denouncing thier well deserved achievments they have enjoyed for centuries, a History that not so many tribes can Articulate. The Wasukumua Tribe was a big voting Block for CCM party and its Runners The Late President John Pombe Magufuli and including the Current President Samia Suluhu Hassan.

There has been a perception that, the Wasukuma tribe, enjoyed or were favoured favourably by The Late President J.P Magufuli arguing that Wasukuma tribe were found in many Corridors of Power and Authority which is true but twisted truth.

As said Earlier, the Wasukuma tribe has enjoyed centuries of achievments and this includes Education: Traditional to Conventional and Higher Education. It is suffice to say Wasukuma tribe boast of many, Businessmen, Political Leader and Scholars. Remember the Wasukuma tribe represents approximately 20% of the population out of as many 100 tribes scattered in Tanzania.
The turning point was when 2020 elections were lost to CCM, this was dubbed by political activist as a "Stolen" elections, just as the same time it was being said by then the Divisive U.S President Donald Trump, in the Backdrop of rising Bigoted, Racist and Mysoginistic tendencies in the World coupled with Hatred speech against the Jews. and Other peoples.

Wasukuma has been harrased, mocked, dehumanised and Looked down hence the name "SUKUMA GANG" Notably a racial slur used to Describe or to insunuate people's of the "Ghettos" not Belonging etc etc
CHADEMA political activist have adopted the tactile used by Imperials and colonialist and NAZIS propaganda i.e Exit The Sukuma Tribe to a neighbouring country once elected and have the State Organs. The CHADEMA activist have vowed to Eliminate the WASUKUMA tribe( by Genocide)
as same as the Jews when it comes to persecution and camparison.

I call CHADEMA and it members and Activist to stop this hatred Speech and call all others Tanzanians to denounce this hatred that is sipping and tearing the fabric of Tanzania's tribal-political cohesion.
 
Sukuma gang ni lidude likubwa sana watawala wasipoangalia litakuja kuwameza one day.

Wanazani sukuma gang ni wasukuma tu la hasha, bali ni watu woote wanaoamini katika sera za Jemedali Magufuli
Hapa ndio wanafail, Wanafikiri Sukuma gang ni gang ya wasukuma. Mimi sio msukuma lakini niko huko sukuma gang. Huwezi dharau kundi kubwa lililopo linaloamini FALSAFA za Magufuli na ukaishi kwa amani katika uongozi wako.Watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya 70 ya kumezeshwa kila kitu. Watanzania wa sasa akili nyingi sana kichwani. Wao walipoingia walikuja na approach ya kusiliba utawala wa Magufuli wakiamini watanzania ni mbumbumbu na watawaamini badala yake wao ndio wako kwenye kibarua cha kujisafinya na kuonekana wazuri. Now wakipigiana simu nahisi mafua,zimwi la kushangiliwa wakifa linawajia kichwani. Hamna watu wanaoishi maisha ya hofu kama msoga gang safari hii.
 
Kumbe mpo
 
Habari JF ,Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli .

Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo ,Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa .

Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama ,Kwa kifupi Ni Dubwana kubwa .Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu .

Hivyo basi kama Ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK,kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa .

Suluhu ni hii miamba 3 iliyobaki idondoke!

Tuvute subira kidogo
 
Hapa ndio wanafail, Wanafikiri Sukuma gang ni gang ya wasukuma. Mimi sio msukuma lakini niko huko sukuma gang. Huwezi dharau kundi kubwa lililopo linaloamini FALSAFA za Magufuli na ukaishi kwa amani katika uongozi wako.Watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya 70 ya kumezeshwa kila kitu. Watanzania wa sasa akili nyingi sana kichwani. Wao walipoingia walikuja na approach ya kusiliba utawala wa Magufuli wakiamini watanzania ni mbumbumbu na watawaamini badala yake wao ndio wako kwenye kibarua cha kujisafinya na kuonekana wazuri. Now wakipigiana simu nahisi mafua,zimwi la kushangiliwa wakifa linawajia kichwani. Hamna watu wanaoishi maisha ya hofu kama msoga gang safari hii.
Uko sahihi
 
Habari JF,

Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli.

Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo. Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa.

Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama. Kwa kifupi ni Dubwana kubwa. Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu.

Hivyo basi kama ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK, kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa.​
Kikubwa waache kumsingizia JPM. Uongo haujengi
 
Sukuma gang ni itikakadi ya kijiwejiwe/ kichaa yaani walionufaika na utawala ule wa kikatili ni kakikundi cha watu wachache sana Wala usiwakuze
 
Hao ni wapuuzi fulani hivi.
Yaani ukubwa wao ni sababu wanashabikia vifo?
Hao mahala pao ni mirembe and no less.
 
Hapa ndio wanafail, Wanafikiri Sukuma gang ni gang ya wasukuma. Mimi sio msukuma lakini niko huko sukuma gang. Huwezi dharau kundi kubwa lililopo linaloamini FALSAFA za Magufuli na ukaishi kwa amani katika uongozi wako.Watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya 70 ya kumezeshwa kila kitu. Watanzania wa sasa akili nyingi sana kichwani. Wao walipoingia walikuja na approach ya kusiliba utawala wa Magufuli wakiamini watanzania ni mbumbumbu na watawaamini badala yake wao ndio wako kwenye kibarua cha kujisafinya na kuonekana wazuri. Now wakipigiana simu nahisi mafua,zimwi la kushangiliwa wakifa linawajia kichwani. Hamna watu wanaoishi maisha ya hofu kama msoga gang safari hii.
Nyie ni Watwana tu, Msgu hajawahi kuwa na falsa katika nchi hii.
 
Sukuma gang ni itikakadi ya kijiwejiwe/ kichaa yaani walionufaika na utawala ule wa kikatili ni kakikundi cha watu wachache sana Wala usiwakuze
Haujui chochote
 
Hao ni wakora tu kelele zao ni huku mitandaoni tu,sera yao kubwa ni visasi na chuki. Ashukuriwe Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kumfyekelea mbali dikteta uchwara bila hata tone la damu kumwagika.
Unafuata wewe!
 
Sukuma gang ni itikakadi ya kijiwejiwe/ kichaa yaani walionufaika na utawala ule wa kikatili ni kakikundi cha watu wachache sana Wala usiwakuze
Kama ni wachache mbona unahangaika sana nao!!? Tulia basi ili uendelea kupata asali yako!
 
Back
Top Bottom