King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sukuma Gang ni wachumba tu mbele ya MSOGA GANG.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kwa taarifa yako ni vyema ujue kuwa hata falsafa ya Nyerere ya ujamaa na kujitegemea (aka ukomunisti mwepesi) nayo haipo nchini; ilianguka tangu 1985. Kilichodumu katika legacy yake ni umoja wa kitaifa, muungano wenye serikali mbili na chama dola (CCM) ambacho kimegeuka kuwa nyenzo kuu ya ufisadi na sasa kinatishia kusambaratisha yote: umoja wa kitaifa na muungano.Falsafa itakayosimama ni ya Nyerere tu, mnajidanganya nafsi zenu na hilo Lirundi menu.
Kwanza mtu ambaye hakuwahi kuandika hata kitabu kama Magufuli atatowa wapi falsafa?Mkuu, kwa taarifa yako ni vyema ujue kuwa hata falsafa ya Nyerere ya ujamaa na kujitegemea (aka ukomunisti mwepesi) nayo haipo nchini; ilianguka tangu 1985. Kilichodumu katika legacy yake ni umoja wa kitaifa, muungano wenye serikali mbili na chama dola (CCM) ambacho kimegeuka kuwa nyenzo kuu ya ufisadi na sasa kinatishia kusambaratisha yote: umoja wa kitaifa na muungano.
Kuhusu Magufuli naona watu hawako serious. Bila shaka elimu yetu siku hizi iko hoi sana. Watu hawajui kabisa maana ya falsafa! Magufuli alikuwa na falsafa? Ipi? Itajwe rasmi kisha yaletwe maandiko, mahojiano na hotuba zake zilizochapishwa (hata yasiyochapishwa) zikiibua na kufafanua coherently (kwa ufasaha) hicho kinachoitwa falsafa ya Magufuli.
Nyerere ana hazina kubwa ya machapisho ikiwa ni pamoja na hotuba na mahojiano yanayoakisi falsafa yake ambayo yanatumika katika vyuo, taasisi za elimu, think tanks ndani na nje ya Tanzania. Falsafa yake inachambuliwa na kupigwa critique na wanazuoni wakuu nchini, Afrika, Ulaya America na Asia. Anasifiwa, anakosolewa, analalamikiwa, anashukuriwa, anasahihishwa, anapuuzwa, n.k. na jamii mbalimbali nyakati zote (all the time).
Wajinga hawatoisha nchi hii yaani MUNGU auwe watu kwa sababu ya shetani aliyepora hela za nchi bila ridhaa na kibali cha bunge kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake. Akawateua wapumbavu kama Sabaya na Makonda kisha kuwalinda awe na umuhimu kwa MUNGU?Kwanza hiyo kitu haipo. Kilichopo ni sera. Sisi tunataka uwajibikaji na kukomesha wizi na uzalendo. Hivyo mliokuwa mnawatukania na kumdhihaki aliyewafia mikononi mwao ndiyo hao hao watawalambisha udogo.
Uzuri mfumo wao jamaa ni ukuta kwa ukuta huwezi jua nani ni nani na waliwaachia mkajiachia hahahaha kila mtu akajulikana na uhusika wake hahahahaha poleni sana.
Kuweni wazalendo ombeni msamaha ingawa mmechelewa kinawahusu kifo tu ili nchi iendelee. Ni kama Yesu aliposulubiwa wanafunzi wake waliteswa na wengine kuuliwa ila mwisho wa siku watesi wote walikufa na injiri ya Yesu ikahubiriwa mataifa yote.
Ndiyo ninyi wezi na wauza madawa mtakufa wote na injili ya uzalendo na uwajibikaji itahubiriwa Tanzania yote na nchi yetu itakuwa tajiri sana na kila mtu atafurahia maisha.
Mna ushahidi ?Wajinga hawatoisha nchi hii yaani MUNGU auwe watu kwa sababu ya shetani aliyepora hela za nchi bila ridhaa na kibali cha bunge kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake. Akawateua wapumbavu kama Sabaya na Makonda kisha kuwalinda awe na umuhimu kwa MUNGU?
Mnamtumikia shetani ndio maana MUNGU akamuondoa shetani Magufuli mfuateni kuzimu
Chato mkuu wangu....Wewe unaishi nchi gani ?
Falsafa ni ya Nyerere tu....Falsafa itakayosimama ni ya Nyerere tu, mnajidanganya nafsi zenu na hilo Lirundi menu.
Msilazimsihe ukabila Tanzania.Habari JF,
Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli.
Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo. Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa.
Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama. Kwa kifupi ni Dubwana kubwa. Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu.
Hivyo basi kama ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK, kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa.
Mwenzako anasema ni wafuasi wa Lowassa wewe unadai ni wafuasi wa magufuli. Ukweli ni upi?Sukuma gang ni lidude likubwa sana watawala wasipoangalia litakuja kuwameza one day.
Wanazani sukuma gang ni wasukuma tu la hasha, bali ni watu woote wanaoamini katika sera za Jemedali Magufuli
Falsafa inayoishi ni ya mwalimu Nyerere pekee yake. Wengine ni utapeli.Hahahahahaha Error 404 ila ni ukweli bosi maana falsafa ya Dkt Magufuli itaishi mimi na wewe tutazeeka na kufa ila vizazi vyetu vitakuja kuihubiri na hatimaye kuiishi. Najua sasa hivi sera ni kukopa nje na kuachia mianya ya ukusanyaji mapato ya ndani na wizi, madawa etc.
Upumbavu mtupu kama ni dude kubwa mnashindwaje kukiamusha na mkafanya mabadiliko mnayoyataka.Sukuma gang ni lidude likubwa sana watawala wasipoangalia litakuja kuwameza one day.
Wanazani sukuma gang ni wasukuma tu la hasha, bali ni watu woote wanaoamini katika sera za Jemedali Magufuli
Unaiwaza CHADEMA tu kila siku. Mgawanyiko walete CCM lawama apewe CHADEMA.Ngo Ngo Ngo
Taarifa.
Hakuna Genge lelote lile Tanzania linaloitwa "Sukuma Gang"
Kuna Kabila la Wasukuma ambalo ni kati ya Makabila makubwa sana Afrika kama sio Duniani. Asilimia kubwa ya Kabila na Jamii ya Msukuma imeelimika, ni jasiri, ni ya wajasiriamali, ni ya wafanyabishara, ni ya wakulima, ni ya wafugaji na wavuvi.
CHADEMA under the umbrela of the Far right movements and imperialistic political and economic partners of rhe West, has embarked on a Genocidal, dehumanising, and bad mouthing of this Tribe since they lost Elections in 2020 to the Late President J.Pombe Magufuli who was A Sukuma. Ever since his death, CHADEMA and its partners have spearheaded a hate campaign against the WASUKUMA tribe by denouncing thier well deserved achievments they have enjoyed for centuries, a History that not so many tribes can Articulate. The Wasukumua Tribe was a big voting Block for CCM party and its Runners The Late President John Pombe Magufuli and including the Current President Samia Suluhu Hassan.
There has been a perception that, the Wasukuma tribe, enjoyed or were favoured favourably by The Late President J.P Magufuli arguing that Wasukuma tribe were found in many Corridors of Power and Authority which is true but twisted truth.
As said Earlier, the Wasukuma tribe has enjoyed centuries of achievments and this includes Education: Traditional to Conventional and Higher Education. It is suffice to say Wasukuma tribe boast of many, Businessmen, Political Leader and Scholars. Remember the Wasukuma tribe represents approximately 20% of the population out of as many 100 tribes scattered in Tanzania.
The turning point was when 2020 elections were lost to CCM, this was dubbed by political activist as a "Stolen" elections, just as the same time it was being said by then the Divisive U.S President Donald Trump, in the Backdrop of rising Bigoted, Racist and Mysoginistic tendencies in the World coupled with Hatred speech against the Jews. and Other peoples.
Wasukuma has been harrased, mocked, dehumanised and Looked down hence the name "SUKUMA GANG" Notably a racial slur used to Describe or to insunuate people's of the "Ghettos" not Belonging etc etc
CHADEMA political activist have adopted the tactile used by Imperials and colonialist and NAZIS propaganda i.e Exit The Sukuma Tribe to a neighbouring country once elected and have the State Organs. The CHADEMA activist have vowed to Eliminate the WASUKUMA tribe( by Genocide)
as same as the Jews when it comes to persecution and camparison.
I call CHADEMA and it members and Activist to stop this hatred Speech and call all others Tanzanians to denounce this hatred that is sipping and tearing the fabric of Tanzania's tribal-political cohesion.
Hivi yono wako wapi ?Upumbavu mtupu kama ni dude kubwa mnashindwaje kukiamusha na mkafanya mabadiliko mnayoyataka.
Mbona watanzania wazamani ndio wenye akili kuliko wa Sasa hivi? Punguza matusi.Hapa ndio wanafail, Wanafikiri Sukuma gang ni gang ya wasukuma. Mimi sio msukuma lakini niko huko sukuma gang. Huwezi dharau kundi kubwa lililopo linaloamini FALSAFA za Magufuli na ukaishi kwa amani katika uongozi wako.Watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya 70 ya kumezeshwa kila kitu. Watanzania wa sasa akili nyingi sana kichwani. Wao walipoingia walikuja na approach ya kusiliba utawala wa Magufuli wakiamini watanzania ni mbumbumbu na watawaamini badala yake wao ndio wako kwenye kibarua cha kujisafinya na kuonekana wazuri. Now wakipigiana simu nahisi mafua,zimwi la kushangiliwa wakifa linawajia kichwani. Hamna watu wanaoishi maisha ya hofu kama msoga gang safari hii.
Katiba Bado inatambua uchumi wa ujamaa na kujitegemea.Mkuu, kwa taarifa yako ni vyema ujue kuwa hata falsafa ya Nyerere ya ujamaa na kujitegemea (aka ukomunisti mwepesi) nayo haipo nchini; ilianguka tangu 1985. Kilichodumu katika legacy yake ni umoja wa kitaifa, muungano wenye serikali mbili na chama dola (CCM) ambacho kimegeuka kuwa nyenzo kuu ya ufisadi na sasa kinatishia kusambaratisha yote: umoja wa kitaifa na muungano.
Kuhusu Magufuli naona watu hawako serious. Bila shaka elimu yetu siku hizi iko hoi sana. Watu hawajui kabisa maana ya falsafa! Magufuli alikuwa na falsafa? Ipi? Itajwe rasmi kisha yaletwe maandiko, mahojiano na hotuba zake zilizochapishwa (hata yasiyochapishwa) zikiibua na kufafanua coherently (kwa ufasaha) hicho kinachoitwa falsafa ya Magufuli.
Nyerere ana hazina kubwa ya machapisho ikiwa ni pamoja na hotuba na mahojiano yanayoakisi falsafa yake ambayo yanatumika katika vyuo, taasisi za elimu, think tanks ndani na nje ya Tanzania. Falsafa yake inachambuliwa na kupigwa critique na wanazuoni wakuu nchini, Afrika, Ulaya America na Asia. Anasifiwa, anakosolewa, analalamikiwa, anashukuriwa, anasahihishwa, anapuuzwa, n.k. na jamii mbalimbali nyakati zote (all the time).
Politics ni game,na ni mchezo mchafu duniani kote unatambulika hivyo kwa kuwa ndipo kwenye masilahi.kuuana na kupotezana ni kawaida kwenye politics-watu wanatofautiana tu njia za kupotezana wengine wanafanya direct kama Magufuli na wengine wanafanya kwa siri.Sukuma gang ni watu wabinafsi na wanaoamini kwenye siasa za fujo na kuteka na kuua wanaowakosoa. Mwenendo wao huu wakibanwa zaidi mwisho wataingia msituni. Waasi wa kwanza katika Taifa letu hili watakuwa sukuma gang.
Siempre Ujamaa na kujitegemea Siempreeeeeeeee[emoji120]Katiba Bado inatambua uchumi wa ujamaa na kujitegemea.