Ni wakora tu na walozi, hakuna itikadi ni mamburura tu yanayoweka matumbo yao mbele
Umeshaawahi hata siku mmoja kumsikia mama akikemea haya mambo .kwa upande mwingine inaonyesha mama anabariki haya mamboHabari JF ,Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli .
Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo ,Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa .
Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama ,Kwa kifupi Ni Dubwana kubwa .Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu .
Hivyo basi kama Ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK,kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa .
Acheni kuwaonea hao watu.....hakuna kitu kinachoitwa SUKUMA GANG .....wala hakuna kitu kinachoitwa MSOGA GANG.....
Ni uzushi tu wa kuwashambulia wengine na kuwapaka matope kwa sababu za kisiasa.....
CCM ni moja.....hizo rabsha za makundi ya kisiasa zimekuwepo siku zote ila hazijafikia kiwango cha UKABILA NA UKANDA kama hivi inavyotengenezewa PICHA......
Taifa letu ni moja....
Sisi ni wamoja......
UKABILA+UKANDA+UDINI=USHETANI ULIOPITILIZA
Wewe unaishi nchi gani ?Mkuu una uhakika hao Sukuma Gang wako?!!!
Msoga gang je?!!
Ni akina nani mkuu wangu?
Falsafa itakayosimama ni ya Nyerere tu, mnajidanganya nafsi zenu na hilo Lirundi lenu.Hahahahahaha Error 404 ila ni ukweli bosi maana falsafa ya Dkt Magufuli itaishi mimi na wewe tutazeeka na kufa ila vizazi vyetu vitakuja kuihubiri na hatimaye kuiishi. Najua sasa hivi sera ni kukopa nje na kuachia mianya ya ukusanyaji mapato ya ndani na wizi, madawa etc.
Tuombe uzima tuFalsafa itakayosimama ni ya Nyerere tu, mnajidanganya nafsi zenu na hilo Lirundi menu.
Hapa ndio wanafail, Wanafikiri Sukuma gang ni gang ya wasukuma. Mimi sio msukuma lakini niko huko sukuma gang. Huwezi dharau kundi kubwa lililopo linaloamini FALSAFA za Magufuli na ukaishi kwa amani katika uongozi wako.Watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya 70 ya kumezeshwa kila kitu. Watanzania wa sasa akili nyingi sana kichwani. Wao walipoingia walikuja na approach ya kusiliba utawala wa Magufuli wakiamini watanzania ni mbumbumbu na watawaamini badala yake wao ndio wako kwenye kibarua cha kujisafinya na kuonekana wazuri. Now wakipigiana simu nahisi mafua,zimwi la kushangiliwa wakifa linawajia kichwani. Hamna watu wanaoishi maisha ya hofu kama msoga gang safari hii.Sukuma gang ni lidude likubwa sana watawala wasipoangalia litakuja kuwameza one day.
Wanazani sukuma gang ni wasukuma tu la hasha, bali ni watu woote wanaoamini katika sera za Jemedali Magufuli
Kumbe mpoHapa ndio wanafail, Wanafikiri Sukuma gang ni gang ya wasukuma. Mimi sio msukuma lakini niko huko sukuma gang. Huwezi dharau kundi kubwa lililopo linaloamini FALSAFA za Magufuli na ukaishi kwa amani katika uongozi wako.Watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya 70 ya kumezeshwa kila kitu. Watanzania wa sasa akili nyingi sana kichwani. Wao walipoingia walikuja na approach ya kusiliba utawala wa Magufuli wakiamini watanzania ni mbumbumbu na watawaamini badala yake wao ndio wako kwenye kibarua cha kujisafinya na kuonekana wazuri. Now wakipigiana simu nahisi mafua,zimwi la kushangiliwa wakifa linawajia kichwani. Hamna watu wanaoishi maisha ya hofu kama msoga gang safari hii.
Suluhu ni hii miamba 3 iliyobaki idondoke!Habari JF ,Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli .
Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo ,Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa .
Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama ,Kwa kifupi Ni Dubwana kubwa .Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu .
Hivyo basi kama Ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK,kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa .
DuuuuSuluhu ni hii miamba 3 iliyobaki idondoke!
Tuvute subira kidogo
Uko sahihiHapa ndio wanafail, Wanafikiri Sukuma gang ni gang ya wasukuma. Mimi sio msukuma lakini niko huko sukuma gang. Huwezi dharau kundi kubwa lililopo linaloamini FALSAFA za Magufuli na ukaishi kwa amani katika uongozi wako.Watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya 70 ya kumezeshwa kila kitu. Watanzania wa sasa akili nyingi sana kichwani. Wao walipoingia walikuja na approach ya kusiliba utawala wa Magufuli wakiamini watanzania ni mbumbumbu na watawaamini badala yake wao ndio wako kwenye kibarua cha kujisafinya na kuonekana wazuri. Now wakipigiana simu nahisi mafua,zimwi la kushangiliwa wakifa linawajia kichwani. Hamna watu wanaoishi maisha ya hofu kama msoga gang safari hii.
Kikubwa waache kumsingizia JPM. Uongo haujengiHabari JF,
Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli.
Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo. Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa.
Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama. Kwa kifupi ni Dubwana kubwa. Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu.
Hivyo basi kama ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK, kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa.
Sukuma gang ni itikakadi ya kijiwejiwe/ kichaa yaani walionufaika na utawala ule wa kikatili ni kakikundi cha watu wachache sana Wala usiwakuzeHabari JF,
Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli.
Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo. Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa.
Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama. Kwa kifupi ni Dubwana kubwa. Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu.
Hivyo basi kama ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK, kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa.
Hao ni wapuuzi fulani hivi.Habari JF,

Nyie ni Watwana tu, Msgu hajawahi kuwa na falsa katika nchi hii.Hapa ndio wanafail, Wanafikiri Sukuma gang ni gang ya wasukuma. Mimi sio msukuma lakini niko huko sukuma gang. Huwezi dharau kundi kubwa lililopo linaloamini FALSAFA za Magufuli na ukaishi kwa amani katika uongozi wako.Watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya 70 ya kumezeshwa kila kitu. Watanzania wa sasa akili nyingi sana kichwani. Wao walipoingia walikuja na approach ya kusiliba utawala wa Magufuli wakiamini watanzania ni mbumbumbu na watawaamini badala yake wao ndio wako kwenye kibarua cha kujisafinya na kuonekana wazuri. Now wakipigiana simu nahisi mafua,zimwi la kushangiliwa wakifa linawajia kichwani. Hamna watu wanaoishi maisha ya hofu kama msoga gang safari hii.
Haujui chochoteSukuma gang ni itikakadi ya kijiwejiwe/ kichaa yaani walionufaika na utawala ule wa kikatili ni kakikundi cha watu wachache sana Wala usiwakuze
Unafuata wewe!Hao ni wakora tu kelele zao ni huku mitandaoni tu,sera yao kubwa ni visasi na chuki. Ashukuriwe Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kumfyekelea mbali dikteta uchwara bila hata tone la damu kumwagika.
Kama ni wachache mbona unahangaika sana nao!!? Tulia basi ili uendelea kupata asali yako!Sukuma gang ni itikakadi ya kijiwejiwe/ kichaa yaani walionufaika na utawala ule wa kikatili ni kakikundi cha watu wachache sana Wala usiwakuze